Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,176 Reaction score 8,640 Jun 12, 2021 #1 Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Jun 12, 2021 #2 Anaandaliwa na kaka yake(remote) kuwa Rais wa awamu ya 7
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,170 Reaction score 17,584 Jun 12, 2021 #3 Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Nenda kwenye kaburi la jiwe Kaulize alipo membe
Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Nenda kwenye kaburi la jiwe Kaulize alipo membe
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,769 Reaction score 118,783 Jun 12, 2021 #4 Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako?
Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,968 Reaction score 23,981 Jun 12, 2021 #5 Mmmm ila Membe hata msibani hatukumuona yu wapi ? Mgonjwa ? Mzima ? Wapi?
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 13,799 Reaction score 39,387 Jun 12, 2021 #6 Membe sio parish worker, au mnataka aende kariakoo kununua kunde na bamia🤣
DustBin JF-Expert Member Joined Jun 3, 2021 Posts 627 Reaction score 608 Jun 12, 2021 #7 Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Itakua yupo kwao Rondo anajipanga
Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Itakua yupo kwao Rondo anajipanga
P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,694 Reaction score 3,308 Jun 12, 2021 #8 Mlipomfukuza mbona hamkumuliza aliyemfukuza. Taarifa zaidi muulize polepole na Bashiru huwa wanajua ratiba za huyo mtu.
Mlipomfukuza mbona hamkumuliza aliyemfukuza. Taarifa zaidi muulize polepole na Bashiru huwa wanajua ratiba za huyo mtu.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,849 Reaction score 26,974 Jun 12, 2021 #9 Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Yupo anawazoom tu mliomfanyia majungu na kujiona ndio wamiliki wa chama chenu.
Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Yupo anawazoom tu mliomfanyia majungu na kujiona ndio wamiliki wa chama chenu.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,740 Reaction score 55,400 Jun 12, 2021 #10 Tate Mkuu said: Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako? Click to expand...
Tate Mkuu said: Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako? Click to expand...
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 Jun 12, 2021 #11 Mzee wa dakika ya 89. Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand...
Mzee wa dakika ya 89. Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand...
Kichwamoto JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 3,402 Reaction score 4,705 Jun 12, 2021 #12 Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Ni mwiko kuulizia habari za gallant statemen like him, its either now or wait for 40+ yrs of sufferings. I dont know by whom..... Muda sahihi utafika ikibidi atasikika. Keep cool.
Idugunde said: Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania. Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa. Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote. Click to expand... Ni mwiko kuulizia habari za gallant statemen like him, its either now or wait for 40+ yrs of sufferings. I dont know by whom..... Muda sahihi utafika ikibidi atasikika. Keep cool.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,343 Reaction score 13,865 Jun 12, 2021 #13 Cannabis said: Membe sio parish worker, au mnataka aende kariakoo kununua kunde na bamia Click to expand... Hili jibu limenikumbusha jamaa Fulani
Cannabis said: Membe sio parish worker, au mnataka aende kariakoo kununua kunde na bamia Click to expand... Hili jibu limenikumbusha jamaa Fulani
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Jun 12, 2021 #14 Maghayo said: Anaandaliwa na kaka yake(remote) kuwa Rais wa awamu ya 7 Click to expand... Ova.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,849 Reaction score 26,974 Jun 12, 2021 #15 mdudu said: Ova. Click to expand... Mbona bado anaweza kuwa bora Sana tu.
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 12,344 Reaction score 22,295 Jun 12, 2021 #16 Yuko Chato anasimamia ujenzi wa Kaburi la shujaa
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,740 Reaction score 55,400 Jun 12, 2021 #17 Bernard Membe
Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 7,176 Reaction score 8,640 Jun 12, 2021 Thread starter #18 Tate Mkuu said: Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako? Click to expand... Acha kutumia makamasi kufikiri, wewe kujadili bajeti ndio sababu ya kachero mbobebezi kutojadiliwa. Shut up stupid person.
Tate Mkuu said: Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako? Click to expand... Acha kutumia makamasi kufikiri, wewe kujadili bajeti ndio sababu ya kachero mbobebezi kutojadiliwa. Shut up stupid person.
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,633 Reaction score 3,534 Jun 12, 2021 #19 Uzuri wa Membe ni very Intelligent. Yupo yawezekana mahali ulipo yupo.
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,342 Jun 12, 2021 #20 Atakuwa anakaguliwa, maana ni kawaida kwa sisi binadamu kukaguliwa mara leo homa mara vimafua...in mamaz voice.
Atakuwa anakaguliwa, maana ni kawaida kwa sisi binadamu kukaguliwa mara leo homa mara vimafua...in mamaz voice.