Olaigwanani lang
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 547
- 183
alipata kuwa mbunge cuf na baadaye kuwa mgombea mwenza wa nccr mageuzi 2005 chiniya dk.mvungi lakini kwa muda mrefu hatujapata kumsikia tena,, kwa yeyeotemwenye habari yake atujuze,,,,,
Rahima Quaros (malkia wa nyuki).
Wakuu wa JF,
Naulizia tu kwa kujikumbusha historia ya siasa ya Zanzibar kidogo. Yu wapi Bi Naila Jidawi ? Bi mkubwa mwenye makeke sana katika harakati za chama cha CUF kule visiwani Zanzibar
Naomba tu kuweka kumbukumbu sawa kwa kusema mie nlianza kumfahamu huyu Bi mkubwa miaka ya 1994 nlipokuwa Mgambo Jkt kwa kupitia luninga ya TV ZANZINAR yaani TVZ channel kule Mgambo tulifunga antena ndefu sanaa
Sasa huyo Bi mkubwa Naila Jidawi kipindi kile ndio ugomvi wake na Maalim Seif uko juu sanaa , Nnachokumbuka ni kuwa Maalim Seif hakuthamini hata kidogo mchango wa Bi mkubwa huuyoo ambae alitoa nyumba yake kuifanya ofisi na mwisho wa siku Maalim Seif akamfukuza kwenye chama....
Wadau wenye kumbukumbu zaidi, hebu fungukeni zaidi....
Huyu Bi mkubwa ndio anafaa kuwa Rais wa kike ajaye kwa Zanzibar na huku bara tukiwa na Makinda yetu....
Bwenjuu! Inaitwa jina lipi mh.? Ni Paje au Bwenjuu?Bi Naila yupo Unguja anafanya biashara zake na kusupport akina mama wajasiriamali. Ana Hotel maeneo ya Bwenjuu kwa wale wanaoifahamu Unguja.
hivi malkia wa nyuki anafanya biashara gani?
Hivi kutofautiana itikadi yaweza kuwa chanzo cha kukosa nidhamu kiasi hiki? Unatumika/kujipendekeza vibaya sana mkubwa wangu. Hata mimi ni CCM tena nyadhifa kibao UVCCM, siwezi kuwa na tabia mbovu kama yako kwani naongozwa na kanuni halisi za chama na mwasisi mareh. Nyerere na mafundisho ya dini yangu. Mwana CDM mwenye hekima hawezi kusimama na kumkashfu mzee Makamba au Kigunge. Tabia mnazoiga toka kwa kina Lissu,Lema,Mwingulu na Nkamia zitawapeleka kubaya sana. Muda mwingine yapaswa UJITAMBUE.Tatizo la Slaa anahisi kwamba kuna sehemu fulani ya maisha yake aliikosea, sasa kama vile anataka kucatch up. Katika kufanya hivyo ndio anajikuta wakati mwingi anafanya uhuni usioendana na umri wake. Age mates wake kina Kingunge na malecela sasa hivi wameshastaafu...
Anamiliki RGB oil..na visima vya mafuta Oman..alizaa na JK in late 1980's mapacha wawili wakiume..chezea malkia wa "gon'gole" wewe
mkuu mbona mada haijataja dr Slaa? inazungumzia Zanzibar na Jidawi sasa hayo ya Slaa umeyatoa wapi. Chadema wanawatesa sana nyie ndugu,mtakufa na presha kwasababu ya Chadema wakati wenyewe wanakula bata.
Afadhali Nimeianza siku yangu na kicheko......eti "Hizi siasa za vyama vya magumshi ni TOO RISKY, ndio maana Dr. Slaa kasema ahakikishiwe fungu lake in advance". Wamuulize Mrema (Lyatonga)alivyopigika kwa kuingia kichwa kichwa NCCR- Mageuzi.
Bwenjuu! Inaitwa jina lipi mh.? Ni Paje au Bwenjuu?
Yupo magomeni kondoa mganga wa kienyeji
mkuu mbona mada haijataja dr Slaa? inazungumzia Zanzibar na Jidawi sasa hayo ya Slaa umeyatoa wapi. Chadema wanawatesa sana nyie ndugu,mtakufa na presha kwasababu ya Chadema wakati wenyewe wanakula bata.
Wasipomtaja wanakosa posho ya siku hiyo. Ndio maana kila siku wanazusha kila aina ya uzushi kuwapaka matope sana sana Dr Slaa, Mh Mbowe, Mh Lema, Mh Lissu na Mh Mnyika. Akilini mwao sijui wanaamini uzushi ukirudiwarudiwa unageuka ukweli???!!!