Yu wapi Bernad Kamilius Membe?

Yu wapi Bernad Kamilius Membe?

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,612
Reaction score
1,869
Heshima wakuu, simuoni wala sija msikia hata ku tweet huyu bwana MEMBE.

Au bado ana chuki?

Alipo naomba mtusaidie kutuombea MSAMAHA tulijenge Taifa letu
 
Hivi alirudi chama kilichomlea?? Sasa ndiyo wakati muhimu sana kwake, kumuunga mkono Raisi! 😅 Huwezi kujua jamani!

Everyday is Saturday................................😎
 
Membe yuko kwenye hotel yake anauza al kasus! Atajaribu kurudi ccm tena kwa msaada wa Kikwete lakini atakuwa mzigo kwani hana mvuto wa kisiasa tena!!!
Umalaya wa kisiasa ni mbaya jamani!

Nje ya mada, Wapi morani ya kimasai Ngoyai??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Umalaya wa kisiasa ni mbaya jamani!

Nje ya mada, Wapi morani ya kimasai Ngoyai??

Everyday is Saturday............................... 😎

NGOYAI AMEKUBALI YAISHE NA KUWA SIKU ZIMEKWENDA!! AMEMRITHISHA MWANAE UBUNGE WA MONDULI; AMERIDHIKA ANANGOJEA TU LIWALO NA LIWE!!
 
Back
Top Bottom