Yu wapi Baba V?

Yu wapi Baba V?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ni muda sasa mkuu Baba V hajaonekana jukwaa hili na mengineyo. Yuko wapi mwanachama huyu? Kwa mwenye taarifa zake atufahamishe.

Karibuni jukwaa la siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
jh.jpg
 
inaonekana yupo hajafa bado. maana ameonekana hewani saa 12:00 noon
 
Huenda ni majukum yameongezeka unawezakuta kaongeza mke maana huwa hamkawii na watoto wameongezeka na wajukuu hapohapo nyumbani halafu mshahara uleule lazima mtu asionekane jf,
 
Mwanaume kumuulizia mwanaume mwenzie inanipa shida sana na ukizingatia hamjuani
 
Ni muda sasa mkuu Baba V hajaonekana jukwaa hili na mengineyo. Yuko wapi mwanachama huyu? Kwa mwenye taarifa zake atufahamishe.

Karibuni jukwaa la siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nipo mkuu VUTA-NKUVUTE , mambo kidogo yamekuwa mengi but soon gonna be back as full as ever hommie.
 
Last edited by a moderator:
Huenda ni majukum yameongezeka unawezakuta kaongeza mke maana huwa hamkawii na watoto wameongezeka na wajukuu hapohapo nyumbani halafu mshahara uleule lazima mtu asionekane jf,

Umejuaje? Hahahahahaaaaa we acha tu.
 
Mwanaume kumuulizia mwanaume mwenzie inanipa shida sana na ukizingatia hamjuani

Inawezekana ni kutokana na makuzi na uzoefu wako mkuu. Labda kujuana kupi unakoongelea wewe? How can someone ask about a person he doesn't know anyway/.
 
Ni muda sasa mkuu Baba V hajaonekana jukwaa hili na mengineyo. Yuko wapi mwanachama huyu? Kwa mwenye taarifa zake atufahamishe.

Karibuni jukwaa la siasa!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Amehamia ACT amepewa ujumbe wa cc
 
Back
Top Bottom