Yoweri Museveni anatia aibu EAC

Sijivunii kabisa kuwa mwafrika , naona aibu sana !
Unamwonea nani aibu, wazungu? Kwani huko kwao hakuna dictators? Mnashangaza sana. Just another inferiority complex from regular a African men that know nothing.
 
Huna lolote !
 
Tafteni gala la silaha wapeni wagana wapiganie uhuru upya ili kumsahau yule mkoloni
 
Afrika inakera sana,uroho wa madaraka inaitesa Afrika kwakweli
pamoja na yote, Ugandans wana furaha kuliko watz. sasa linganisha ni rais yupi ni wa muhimu kwa wananchi wake kati ya rais wako na wa uganda. hapo ukipata jibu lete mrejesho kama hauwaogopi watu wasiojulikana wenye noah nyeusi. Mungu mponye Tundu Lisu
 
Hivi mbona senegela yule mjinga walimfungia kazi chapu tu akalala mbele.... umoja mwingne wa ajabu sana coz hata wenzake wanajua nao watafanya kama yeye
 
EAC itavunjika tena muda si mrefu , hii jumuiya ni hasara kubwa sana !
 
Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda .

Ikumbukwe kwamba jambo hili la aibu linafanyika baada ya njama za Museveni za kumrithisha urais wa nchi mtoto wake wa kiume kugonga mwamba , jambo hili baya litasababisha machafuko nchini Uganda na kusababisha mzigo wa Wakimbizi kwa nchi za jumuiya .

Ni wakati sasa kwa jumuia za kimataifa kuingilia kati ili kuepusha mauaji ya kimbari .
Mwenzako yuko Ulaya kama mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anatuwakilisha kwenye kikao na Umoja wa Ulaya kuhusu zile EPA.
Juzi pia nimesikia Kalonzo Musyoka akimsifu jamaa eti anastahili kuwa Rais wa kwanza wa Afrika Mashariki.
Miafrika ndo tulivyo!
 
Nakulilia Africa
 
Mbona Uhuru Kenyatta yupo freshi tu? Shida ya Kenya ni upinzani usiojielewa. Raila Machar wa Lord's Resistance Movement anatusumbua sumbua sana lakini ya Mungu ni mengi. Tunamshukuru.
 
Kitendo cha Rais wa Uganda kulazimisha kutawala milele kwa gharama yoyote , kinafedhehesha sana Jumuiya ya Africa Mashariki na kudhalilisha mno wananchi wa Uganda .

Ikumbukwe kwamba jambo hili la aibu linafanyika baada ya njama za Museveni za kumrithisha urais wa nchi mtoto wake wa kiume kugonga mwamba , jambo hili baya litasababisha machafuko nchini Uganda na kusababisha mzigo wa Wakimbizi kwa nchi za jumuiya .

Ni wakati sasa kwa jumuia za kimataifa kuingilia kati ili kuepusha mauaji ya kimbari .
Magufuli nae ni rais wa maisha.....jiandae
 
Unamwonea nani aibu, wazungu? Kwani huko kwao hakuna dictators? Mnashangaza sana. Just another inferiority complex from regular a African men that know nothing.
Kwa maneno mengine unasapoti anachofanya M7 Uganda....
 
Mungu mtume malaika wako yule uliyemtuma Zimbabwe , afike mpaka uganda ili kunusuru raia .
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom