Youtubers tukutane hapa

Labda Hapo kabula haijawa kisanga na isitoshe ana subscribers wengi angefuta video zote harafu aanze kuweka content zake.
Mfano mimi nimeamua kucreate content kwa kuedit.
Rejea hapa
 
Labda Hapo kabula haijawa kisanga na isitoshe ana subscribers wengi angefuta video zote harafu aanze kuweka content zake.
Mfano mimi nimeamua kucreate content kwa kuedit.
Rejea hapa
Yap! Nimeona ila kuna zile video za bungeni na mambo ya siasa lazima utanasa tu. Ila kwa hii uliyonitumia link ipo Poa maana umei-create mwenyewe.
 
Yap! Nimeona ila kuna zile video za bungeni na mambo ya siasa lazima utanasa tu. Ila kwa hii uliyonitumia link ipo Poa maana umei-create mwenyewe.
Kwani video za siasa zinaweza kuwa na Tatizo
 
Hapana tatizo umezitoa kwenye channel nyingne.
Hua sitoi YouTube video zangu zote zilizopo YouTube hua natoa site nyingine tofauti na YouTube mfano Facebook na Instagram
 
Hua sitoi YouTube video zangu zote zilizopo YouTube hua natoa site nyingine tofauti na YouTube mfano Facebook na Instagram
Hata kama hautoi YouTube lakin tayari hao walioziweka FB na Instagram walisha ziweka YouTube

Nasema hivi coz nilisha fanya hivo unavyofanya ww mwisho nikajuta kupoteza GB kibao kwa kuapload video.Japo nilipata subscribe wa kutosha na masaa mengi tu.

Sasa muziki ukaja walipo ikagua wakaona reused contents, na sio mm tu kuna YouTubermate wengi tu imewakuta hiyo.

Nasema hivo sio kukukatisha Tamaa au labda nakuonea wivu hapana.
Ila nataka usitumie muda mwingi kwenye kitu ambacho mwisho matokeo sifuri.

Ndio maana nikasema ufanye kama kwenye hiyo video yako mpya ulivyoiunda mwenyewe.

N.B kama utaendelea ww piga kazi jap kwangu mm kama ningepata mtu wa kuniambia kabla nisingepoteza time wa kuchukua video sehemu,badala yake ningeunda zangu, alafu bot zinanasa zaidi sauti kuliko hata video.

Bora ungekuwa labda unazifanyia voice over na kuzichekecha kidogo kwa edit hapo ingekuwa muruua tu.

*Ila sorry Kama utahisi ninakukatisha tamaa.
 
Nimekuelewa sana hata mimi hua najitahidi kuepuka hivyo vitu.
Pia nazidi kujitahidi kuendelea kuboresha.
Asante kwa kuniongezea kitu
 
Jamani naweza tumia oppo ya 250000 kutengeneza video nzuri. Academic na vlog video.
 
Wataalam vipi kuhusu leseni? Serikali imebadili kanuni au ndio ukitaka unajilipua?
 
Mkuu unatumia app gani hiyo beat naona zinatoka walau Zina quality ya kulizisha!, sometimes napenda kuwa nasikiliza beat tu hii itanisaidia mkuu ni app gani hiyo..?
 
Mkuu unatumia app gani hiyo beat naona zinatoka walau Zina quality ya kulizisha!, sometimes napenda kuwa nasikiliza beat tu hii itanisaidia mkuu ni app gani hiyo..?
Sony Acid na Ableton! Sema nowadays meacha kuna siku YouTube walifuta beats 20+ kwa mkupuo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…