Kuna jamaa zangu kadhaa wanafanya hiyo kitu.nahitaji kufungua youtube ac ambayo nitakuwa naupload content za highlights za EPL(football)
yoyote mwenye ujuzi?nianzaje?
FactMungu hakutuumba wavivu sema tunaupandikiza tu.
Tumia 'youcut'Mmesahau kututajis vifaa mnavyotumia kurekodi background audio kwenye videos zenu!!.
Ni software au ni kifaa?Tumia 'youcut'
SoftwareNi software au ni kifaa?
Hapo mkuu inawezekana lakini ujitahidi kua mbunifu wa video hizo pamoja na sauti ili kuepuka copyright claim za highlights zakonahitaji kufungua youtube ac ambayo nitakuwa naupload content za highlights za EPL(football)
yoyote mwenye ujuzi?nianzaje?
ShukraniSoftware
Shukurani mkuu lakini kupata subscribers YouTube inatakiwa pia uwatafute kuanzia unao kaa naoMm nimekuza channel yangu kwa mbwinu Moja rahisi sana..
* Kupiga kazi bila kuacha au kukaa muda murefu bila kuzalisha content
Kawaida ya algorithm huwa ina recommends channel ambayo muda mwingi inazalisha content back to back bila kuchoka.
Kwa hiyo nikujitahidi kutengeneza contents za kutosha na kuaploads video mara kwa mara.
Mm binafsi kwa sasa kila siku lazima niapload video 2 mpk 3 kwa siku
Siku nikiwa na muda wa kutosha huwa na tengeneza hadi video kumi
Ili hata siku nikishindwa kuzalisha content basi siwezi shindwa cha kupost.
Nakuhakikishia ukianza kufanya hayo niliyokuambia hakika utayaona mabadiliko makubwa ukilinganisha na awali.
Mungu hakutuumba wavivu sema tunaupandikiza tu.
Mm binafsi sijawahi fanya hivyo kuwa tafuta.Shukurani mkuu lakini kupata subscribers YouTube inatakiwa pia uwatafute kuanzia unao kaa nao
Jambo la msingi aondoe kabisa soundtracks zao, aweke za kwake.Kuna jamaa zangu kadhaa wanafanya hiyo kitu.
Ila mara nyingi wanaambulia copyright strike mwishowe kufungiwa channel zao
Na kindi cha nyuma kidogo kulikuwa na hela nzuri lakn saizi wamepunguza mbumba.
Kama unataka kufanya ww fanya ila hakikisha unakuwa na walau channel mbili, hizo highlights kublockiwa ni suala la sekunde.
Ngomma ni Kampuni ya Kenya. Hizo video ulizoweka itakuwa wao ndio wanazimiliki.Mimi leo nimeupload nonstop yangu ya bongoflava okdakool youtube..ambayo nimeimix mwenyewe lakini wameitoa nakusema kuwa kuna content za ngomma vas..sijaelewa kabisa
Vip kuhusu 4000 watching time ilikupata adsenseWadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji wa channel YouTube.
Au ni mdau wa YouTube, tukutane hapa ili kujadili maswala yanayo husiana na YouTube channel kama vile kutengeneza, kumonitor, kupata mbinu mbalimbali za kupata subscribers, viewers, comment na shares.
Pia uwanja huu utahusisha Sub for sub(Sub4sub).