Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Wabongo bhana..!yaani ukizingua Freemasons wanakunyoosha mpaka unakua kapuku kabisa .
kabla hamjasaini mikataba muwe mnaangalia mbele sio unasaini ukishafanikiwa unataka kujitoa lazima unyooshwe
"The storm is over now."Mtandao wa #YouTube umeondoa Chaneli za mwimbaji R. Kelly ambazo ni RKellyTV na RKellyVevo ukilenga kujitenga na Mwimbaji huyo ambaye amehukumiwa kwa Vitendo vya Udhalilishaji Kingono Mwezi Septemba.
====================
YouTube said it has removed R&B singer R. Kelly's channels from its video platform, distancing itself from the singer who was convicted of sex trafficking last month.
R. Kelly was convicted by a federal jury in September in his sex trafficking trial, where prosecutors accused the singer of exploiting his stardom over a quarter-century to lure women and underage girls into his orbit for sex. read more
Two of his channels, RKellyTV and RKellyVevo, have been removed from one of the world's largest video platforms and the singer will no longer be able to create or own any other YouTube channel, YouTube said in a statement sent late on Monday, following Reuters' request for comment.
Pia hapo ana wish he could turn back the hands of time"The storm is over now."
Exactly , wahafurahia kutuonyesha vimafanikio vyao but nyuma ya pazia wanatokota, Pi didy nae alitaka kuzingua ikabd aje na iam coming home...!!naYaani ukizingua Freemasons wanakunyoosha mpaka unakua kapuku kabisa.
Kabla hamjasaini mikataba muwe mnaangalia mbele sio unasaini ukishafanikiwa unataka kujitoa lazima unyooshwe.
Ile "same girl" ya R. Kelly na Usher, nahisi Hilo tukio limewahi kunitokea. La kushea demu na mwana.Kwa watu kama sisi ambao hatu-follow mtu bali kazi..., nadhani taendelea kusikiliza nyimbo zake (mtu anaweza kuwa mbaya lakini kazi zake nzuri)
Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa...., Kwa ulimwengu kukosa kazi za Robert Kelly itakuwa ni Pigo kubwa sana.... kama vipi aziuze zote kwa wadau fulani ili tuendelee kuburudika....
Jamaa Talent ni his middle Name...Ile "same girl" ya R. Kelly na Usher, nahisi Hilo tukio limewahi kunitokea. La kushea demu na mwana.
Mimi na jamaa yangu tulishare demu mmoja, sio mapacha.Jamaa Talent ni his middle Name...
Yaani Robert Talented Kelly its a shame to end this way na kukumbukwa kwa mabaya..., anyway wengi wangeweza kutenganisha kazi na mwenye kazi kama mimi nadhani ingekuwa poa zaidi
By the way nadhani mkuu unaleta Chai yaani na wewe ulipenda Pacha na Jamaa yako alipenda Pacha mwingine mkadhani ni mmoja !!!! au sijakuelewa mkuu ?
aahhh sasa hii tofauti.., wewe na rafiki yako mbona hio ni kawaida sana..., tatizo sisi binadamu tunadhani tunaweza kumiliki lakini hakuna mwenye hati miliki ya binadamu mwingine... (maybe theoretically)Mimi na jamaa yangu tulishare demu mmoja, sio mapacha.
Wazi kabisa! Michael Jackson mwenyewe alitakiwa azitapike mali zote ashukuru yeye walimtoa kafara tu 😅Yaani ukizingua Freemasons wanakunyoosha mpaka unakua kapuku kabisa.
Kabla hamjasaini mikataba muwe mnaangalia mbele sio unasaini ukishafanikiwa unataka kujitoa lazima unyooshwe
yaani yule na yeye ana bahati la sivyo angerudi kua mweusi kuliko alivokua mwanzoWazi kabisa! Michael Jackson mwenyewe alitakiwa azitapike mali zote ashukuru yeye walimtoa kafara tu 😅