Youtube hacked?

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
1,773
Reaction score
688
Nilikuwa natafuta highlights za mechi ya Arsenal Vs Chelsea katika Youtube videos, lakini kila nikifungua nakumbana na ads au napelekwa kwenye link tofauti kabisa. Mfano ni hii video hapa:
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=RHEPYAto4n0[/ame]
Anayeweza kupata link sahihi ya video ya higlights hizo naomba aniwekee humu tafadhali.
 

Bado unasubiri jibu?
Hivi uko serious, au unakuwa stupidos?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…