Youtube copyright remover

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
552
je ni kweli kuna kitu kinaitwa copyright remover?

Ndio ipo, je ni software gani nzuri hutumika?

je youtube hubaini copyright kwenye audio tu?

hapa na visual pia, kivipi?

je video za music unaweza kuondo copyright?

ndio unaweza ila sio kirahisi hivyo, kivipi?

NB: copyright video ni hatari kwa channel yako japo zina faida nzuri.


unapotaka ku reproduce video hakikisha unafuata kabisa proprties zote za original video.

Note; Zingatia sheria za copyright. kabla huja fanya hiyo reroducing hiyo video
 
namna ya kuondoa copyright kwenye video za youtube

nataka niweke techniques ila nafsi inakataa kuziweka hapa sijui ni kwa nn
 
Hauwezi kuondoa copyright, unaweza kuvuruga video ili system za Google zisikugundue kiurahisi, copyright violation ipo pale pale.
 
Back
Top Bottom