Youtube app ambayo haina matangazo

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.
 
Au naomba mwenyekujua jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu
 
Natumia Brave Browser kote kwenye simu na laptop, hakuna hata katangazo ka sekunde 1 huwa kanakuja....

Na sio kwenye youtube tu, hata zile websites zenye vijitangazo huwa havionekani❌
 
Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.

Ndo natumia ina features mingi sana..
 
Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.

Tumia hii...na usisahau kuinstall micro g kwa ajiri ya kusign in!
 
Natumia Brave Browser kote kwenye simu na laptop, hakuna hata katangazo ka sekunde 1 huwa kanakuja....

Na sio kwenye youtube tu, hata zile websites zenye vijitangazo huwa havionekani❌
Tupo pamoja, Na mimi natumia Brave browser kwenye simu na laptop, ni mwaka wa sita sasa siyajui matangazo ya YouTube, pia ina zuia matangazo mengi sana ya tovuti zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…