brocode Member Joined Jul 3, 2019 Posts 48 Reaction score 30 Jul 4, 2019 #1 Tukutane hapa wanazengo tunaotumia YouTube kujiingizia kipato na ww unaependa uweze jifunza kwa namna moja ukiwa interest unaweza Fanya na wewe! Me nimeangalia jamii sjaona group kama hili nikaona nianzishe naweza pata wemzangu na mm wanaotaka kuja na kujifunza zaidi kuhusu YOUTUBE ACCOUNT so karibun tusaidiane tuonee tunakulaje ile hela ya YouTube. Karibu. Kumbuka huku link azitakiwi kama.hizi[emoji23]
Tukutane hapa wanazengo tunaotumia YouTube kujiingizia kipato na ww unaependa uweze jifunza kwa namna moja ukiwa interest unaweza Fanya na wewe! Me nimeangalia jamii sjaona group kama hili nikaona nianzishe naweza pata wemzangu na mm wanaotaka kuja na kujifunza zaidi kuhusu YOUTUBE ACCOUNT so karibun tusaidiane tuonee tunakulaje ile hela ya YouTube. Karibu. Kumbuka huku link azitakiwi kama.hizi[emoji23]
Dr.adams faida JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,919 Reaction score 3,472 Jul 4, 2019 #2 Aisee