Youth and commitment,citizen tv

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,562
Reaction score
18,451
Janeth mbugwa wa citizen tv,anaendesha mjadara wa mahusiano kwa vijana,mada nzuri sana kwa ambao hawajaingia kwenye ndoa.

ni vizuri tv za bongo wakajifunza kuleta mada kama hizi
 
jaza jaza nyama basi. wanazungumzia nini haswa.
 
Huwa siachi kumtazama huyu dada kila jumatatu na huwa ana mada nzuri sana
 
Janeth mbugwa wa citizen tv,anaendesha mjadara wa mahusiano kwa vijana,mada nzuri sana kwa ambao hawajaingia kwenye ndoa.

ni vizuri tv za bongo wakajifunza kuleta mada kama hizi
ni JANET MBUGUA NOT MBUGWA KAKA!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…