You're not in love with me

Naona watu wanasema six pack, na kaporwa tonge mdomoni. Sasa sijajua kama ndicho alichosema.
Ila kaka shemeji wewe umejua hadi lugha aliyotumia lazima umeelewa.
Mimi nilijua kaandika kikabila kumbe ni kimalikia
@ushimen leo ametupa kazi ngumu saana. Kingleza bwana ah.... kwa hiyo alikuwa analalamika nini?? Haswaaa
 
Naona watu wanasema six pack, na kaporwa tonge mdomoni. Sasa sijajua kama ndicho alichosema.
Ila kaka shemeji wewe umejua hadi lugha aliyotumia lazima umeelewa.
Mimi nilijua kaandika kikabila kumbe ni kimalikia
Ameandika kimalikia. Ngoja nitumie kitu fulani hivi naamini nitaelewa
 
Pole sana mkuu. Love is like a puzzle sometimes, things happen in life. The most important thing is, we were made to forget. Utasahau na yatapita
 
Nakuona nakuona! πŸ‘πŸ˜Š
 
Hahah!, hii nzuri sana.
Halafu nilivyosema unatuzuga sikukosea..[emoji16]
Na nilikuambia kwamba the amount of good luck coming your way depends on your willingness to act...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…