ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,285
Simu yangu nikiingia kwenye gallery vitu vyote vilivyokua kwenye memory card vimefutika,na badala yake naoneshwa kua SD card imeharibika,naomba mwenye kujua jinsi ambavyo naweza kuirudisha memory katika hali ya kawaida ikiwa na vitu vyake vyote.Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app