"Your Private Message Was Not Delivered to ...... ".

Hi yule ulokuwa ukimtafutia zawadi ushaipata....!? Nauliza tu lakini, msinielewe vibaya.
 
Siku moja mtajatongoza vidume wenzenu bure...
 
Ndio maana watu kila leo wanaleta kesi huku, kumbe kinachowauma ni jinsi walivyohangaika!

Ha ha haaa so wewe hutaki kuhangaika? sbb baade utaleta kesi.

Cha kuhangaikia ni kizuri na kinanoga sana
 
PM imeenda, ngoja nisubirie majibu.
 
Hi yule ulokuwa ukimtafutia zawadi ushaipata....!? Nauliza tu lakini, msinielewe vibaya.

Kesho naenda kufanya shopping ya zawadi zake. Ahsanteni kwa michango yenu.
 
ndo hapo nilipo kuona uko mjini kwa bahati mbaya!!!

people need money!! not private messages!!

ebo!!
 
ndo hapo nilipo kuona uko mjini kwa bahati mbaya!!!

people need money!! not private messages!!

ebo!!

Sasa nitampaje hela bila kumtumia PM anipe namba yake ya Mpesa au Tigopesa au Airtel Money au account ya bank? Wewe vipi? Rudi shamba.
 
Sasa nitampaje hela bila kumtumia PM anipe namba yake ya Mpesa au Tigopesa au Airtel Money au account ya bank? Wewe vipi? Rudi shamba.

hahaaaahhaaaa!!!!

lover boy.... lover boy, umeshadata lover boy!!!

lover boy, lover boy unaleta utata lover boy!!

lover boy kwa mashori ni hatari...!!!!

cc: Heaven on earth, mimi49, Kongosho, lara 1, Madame B, miss strong, BADILI TABIA, charminglady ... etc

,,,, jamani fungueni pm settings zenu,,, najua kuna mmoja wenu hapa anasakwa!!
 
Wewe kuwa makini, yaani unacc wengine wake za watu, shauri yako, we waletee ugomvi kwenye ndoa zao tu! Ila umepatia hata hivyo! Kongosho tena!
 
Last edited by a moderator:
Wewee ni pendapenda. Nenda, kama umezidiwa nenda uwanja wa fisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…