Nadhani pc yako ina windows 8,8.1. Maana tatizo hilo huzikumba sana pc zenye os ya windows 8/8.1. Kama nikidhaniacho ni kweli, basi unatakiwa urepair windows kwakutumia installation cd/flash au kama ikishindikana itabidi uinstall windows nyingine ila hakikisha baada ya hapo unaisearch na kuinstall updates kila baada ya kipindi flani ili windows yako iwe stable.