Your children will value what you value

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
This is true ,there is no doubt at all. Normally chidren behave and copy each and every thing from their parents . It's ridiculous to bealive that your kids will behave contrary to your behaviour. If you value books ,your kids will value books also , but if you value Tv your kids will do the same.

Therefore if someone want to rise God - fearing chidren ,you should be their role model in worshipping God.

Mind your behaviour, speak in a good manner ,be faithful , stop wasting time by doing meaningless stuffs this is because the destiny of kids is on your hands.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji hufuata mkondo.
Inategemeana sana mazee!
Kuna wazazi walevi kinoma na watoto hawagusi mitungi na kinyume chake.
Kuna wachungaji wana watoto majambazi, makahaba, na kila aina ya uchafu na Kuna wazazi wachafu wana watoto wasafi.
Mambo ya ndani ya MTU vigumu kuyatafsiri japo kimsingi watoto wapewe malezi bora

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With no matter what, we have to behave good before kids- language, attitude and our preferences, kids molded with environment, as they acquire language, acquire other aspects of life.
 
I concur with you brother, some parents behave and show all good manner to children but they grow to behave contrary. So, it depends

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na familia yny wtt wawili wa kiume, baba alikuwa mlevi sn na akimpiga sn mkewe na kumtendea kila aina ya ukatili ila wtt walipokuwa walikuwa tofauti. Mmoja alikuwa mkatili km baba yake na mwngne alikuwa mstaarabu na mwny kujali sn. Yule mstaarabu alipoulizwa mbn amekuwa tofauti sn na baba yake alijibu, "mm ckupenda zile tabia za baba, ulevi manyanyaso na udhalilishaji kw mama, kw hyo nliapa nikikua sitayafanya hayo kw mke wangu wala mwanamke yeyote". Kw hyo unaweza ona kuwa wkt mwngne wtt wanakuwa tofauti kbs na malezi waliyokuzwa nayo, japo ckatai kuwa watoto wanaiga sn wazazi tunachofanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That is true man.
With no matter what, we have to behave good before kids- language, attitude and our preferences, kids molded with environment, as they acquire language, acquire other aspects of life.
 
Back
Top Bottom