Youngest Doctor In The World

Youngest Doctor In The World

Mujahidin maana ake nin!?, hemu nifahamishe umeniacha
Mpendwa Yamour Baada ya heshima na Taadhima, Niwe na Furaha kukujuza kuwa Neno Mujahidin linatokana na neon Jitihada/Kujitahidi (struggle/survival) katika jambo lolote, iwe masomo, Kazi,ufundi,utafiti,ukulima,mchezo,nk,nk (yaani struggling to gain position/something) ili ufanikiwe maishani inakubidi ujitahidi ndipo waitwa Mujahidi!! Na siyo kama wanavyo tafsiri walimwengu "(akutukanie hakuchaagulii tusi) " So hata mwenye kuishi katika kambi ya ukimbizi utakuta anajitahidi ili ajigomboe ktk hali na mali !! Nahilo siyo kitu cha kupewa kwa urahisi. Haswa ukisuhudia aFalestina wengi wapo ndani ya Occupied lands au camps....!! Karibuni waaungwa kawa suali au maelezo au INFO 2013 BIGURUBE lyinga incharge Gama,Chuma cha reli, utafiti, mbwewe, lukubuzo Samsis
 
Last edited by a moderator:

Ok maadam tupo huru kuuliza.
Naomba utujuze wale waislamu wanaojiita wajahidina, wanakuwa Wana maanisha nini? Au wanatofauti gani na wale wasiojit ambulisha hivyo..
 
Last edited by a moderator:
Gt

Mkuu Hii haitoshi. Tofautisha kati ya "Real" na "Ideal".

Ideal:Ni kwamba mwislamu hatakiwi kushiriki mambo ya kidunia.

........

Bottom line ni kuwa;...
Mwanamke anatakiwa kumlea mumewe hatakiwi kufanya kazi wala kusoma. Na hi ndio "ideal" lakini "reality" wako wanawake wanafanya kazi(transgressors).

Uislamu na Elimu mbalimbali. Kama pua na moshi. Kama sivyo, mtume angekuwa wakwanza kwenda shule kusoma.

......

Link What is Islam's view about education, science and technology? - GainPeace

link http://www.islamicspain.tv/Islamic-...ssical-and-Islamic-Learning-Enters-Europe.htm

Link The Wisdom Fund - Islam's Contribution To Europe's Renaissance

Last edited by a moderator:
Kenya alikuwepo kijana ana miaka 13 alikuwa ashamaliza Chuo kikuu.
Alikuwa anaiwa "Bethuel Mbugua." Ashawahi kuja bongo miaka ya 90s kama kuna wenye kumbukumbu watamkumbuka huyu kijana.alikuja kuomba msaada aende kusoma marekani.

Wataalam wanasema ukiwa na akili nyingi kuliko ,ordinary people pia ni utahahira isipokuwaa upo kwenye positive side.
Ukiwa na chache pi ni tahahira in negative side...

huyo kijana alikuwa dokta?
 
U-jiniaz wa akina Albert Einstein na Newton sio wa ku-kremu ideas za wasomi waliotangulia. Ikumbukwe hata Newton aliwahi feli shuleni. Lakini hapo baadae alikuja kutajwa kama jiniaz. So U-jiniaz wa watu unatokana na ku-ceptualize na ku-invent vitu vipya vinavyosaidia jamii. Sio kujua kukariri na kutokusahau ulichoweka kichwani.
Elimu ni pale inapoleta Tija kwenye jamii. Kwahiyo mambo ya kwenda kwa waganga upate uwezo wa kufaulu mitihani wakati Elimu haikusaidii ni bogus.
Mwisho wa siku, Jamii itauliza umegundua nini?watakosa LA kukutetea.

Isaac Newton hakuwahi feli shule,alikua mwanafunzi bora sana,alisoma masaa 18 kwa siku na siku 7 kwa wiki,japo enzi hizo waliandika kwa mkono na kusambaza kwa magari ya farasi yy alikuwa na collection ya vitabu zaidi ya 1000,aliachana na mambo yote ya jamii na akajikita na elimu(ndo maana alikua antisocial).Bila kusoma kazi zilizopita sidhano kama tunaweza kuja na kitu kipya,Newton mwenyewe alisema "If i can see any further,it's only because i stand on the shoulders of those who came before me".Habari zake nyingi zimeandikwa na John Wilkins waliokua wakiishi nae chumba kimoja tangu wanasoma chuo mpaka anafariki.Bila kusoma kazi za Newton Einstein asingeweza kutuambia kua hakuna "absolute time wala space" kama alivyowaza Newton.
ata unapoandika pepa unatakiwa kufanya reference,kwa hiyo ni lazima kusoma kazi zilizokwisha andikwa.
 
Back
Top Bottom