Youngest Doctor In The World

Youngest Doctor In The World

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,671
1416921189234.jpg
...She graduated from high school, top of her class, at the age of 12. Already, she had mastered the biochemistry and mathematics she would need for medical school.

By the age of 13, Iqbal had not only learnt to drive, she had caught the eye of Lebanon's education minister, who helped her to secure a medical scholarship in Qatar.

And this year, at 20, she became not only the youngest ever medical graduate from Cornell University's Qatar branch, but possibly the youngest Arab doctor ever.

"Since day one, Iqbal stood out as a very mature and professional student despite her age and experience," says one of her professors at Cornell, Dr Imad Makki.

"The sky is the limit for Iqbal."

There is just one problem: Iqbal cannot work as a doctor in Lebanon, the country of her birth. "My dream is to come back to do something for the Palestinian refugees in the camps, even by opening a free clinic for them," she says....
1416921416919.jpg
 
Umeshajazwa upepo na wazungu hata kutumia akili huwezi tena

Waarabu na uislamu hauruhusu mwanamke kusoma elimu dunia (Boko Haramu), huyu binti atakuwa ni mganga wa kienyeji na sio professional doctor!
 
Ni ukweli kabisa, elimu ya kisasa ina mizizi yake katika Afrika.
 
Ngojea wayahudi waje! Hawachelew kusema huyu dada atakuwa Ana asili ya jews
 
Gt
Mkuu amka kutoka kwenye huo usingizi.
View attachment 205553

Mkuu Hii haitoshi. Tofautisha kati ya "Real" na "Ideal".

Ideal:Ni kwamba mwislamu hatakiwi kushiriki mambo ya kidunia.

Real:Tyson na wisdom(wiz) khalifa wanaimba miziki ya kidunia na wanavuta bangi wanakula pombe. Diamond anajirusha nk.na wote ukiwauliza mafaniko yao wanasema wanamshukuru M/Mungu.
Yeah hata mwizi anaomba mungu asikamatwe kwenye tukio.
so ni mifano tu

Bottom line ni kuwa;...
Mwanamke anatakiwa kumlea mumewe hatakiwi kufanya kazi wala kusoma. Na hi ndio "ideal" lakini "reality" wako wanawake wanafanya kazi(transgressors).

Uislamu na Elimu mbalimbali. Kama pua na moshi. Kama sivyo, mtume angekuwa wakwanza kwenda shule kusoma.

Bokoharam Wako right..kuhusu scriptures wenginw humu wanachakachua ukweli huu uli wajenge respect.
Hate it or love it huu ndo ukweli.
 
Kenya alikuwepo kijana ana miaka 13 alikuwa ashamaliza Chuo kikuu.
Alikuwa anaiwa "Bethuel Mbugua." Ashawahi kuja bongo miaka ya 90s kama kuna wenye kumbukumbu watamkumbuka huyu kijana.alikuja kuomba msaada aende kusoma marekani.

Wataalam wanasema ukiwa na akili nyingi kuliko ,ordinary people pia ni utahahira isipokuwaa upo kwenye positive side.
Ukiwa na chache pi ni tahahira in negative side...
 
U-jiniaz wa akina Albert Einstein na Newton sio wa ku-kremu ideas za wasomi waliotangulia. Ikumbukwe hata Newton aliwahi feli shuleni. Lakini hapo baadae alikuja kutajwa kama jiniaz. So U-jiniaz wa watu unatokana na ku-ceptualize na ku-invent vitu vipya vinavyosaidia jamii. Sio kujua kukariri na kutokusahau ulichoweka kichwani.
Elimu ni pale inapoleta Tija kwenye jamii. Kwahiyo mambo ya kwenda kwa waganga upate uwezo wa kufaulu mitihani wakati Elimu haikusaidii ni bogus.
Mwisho wa siku, Jamii itauliza umegundua nini?watakosa LA kukutetea.
 
U-jiniaz wa akina Albert Einstein na Newton sio wa ku-kremu ideas za wasomi waliotangulia. Ikumbukwe hata Newton aliwahi feli shuleni. Lakini hapo baadae alikuja kutajwa kama jiniaz. So U-jiniaz wa watu unatokana na ku-ceptualize na ku-invent vitu vipya vinavyosaidia jamii. Sio kujua kukariri na kutokusahau ulichoweka kichwani.
Elimu ni pale inapoleta Tija kwenye jamii. Kwahiyo mambo ya kwenda kwa waganga upate uwezo wa kufaulu mitihani wakati Elimu haikusaidii ni bogus.
Mwisho wa siku, Jamii itauliza umegundua nini?watakosa LA kukutetea.

Unahangaika sana kubishana na facts, huwezi kubadilisha chochote kwenye uislamu , waislamu watabaki na uislamu wao na wewe kafir utabaki na ukafir wako msalimie kilaini
 
Back
Top Bottom