kmdh JF-Expert Member Joined May 19, 2010 Posts 503 Reaction score 121 Jul 10, 2010 #1 Kile kijiwe cha mabishoo na watoto wa vigogo kimefia wapi? Naona wanachama wengi wa kile kijiwe wamehamia hapa. Pumba za walizokuwa wanaandika kule wameziacha siku hizi. Labda wengi wameshakuwa watu wazima.
Kile kijiwe cha mabishoo na watoto wa vigogo kimefia wapi? Naona wanachama wengi wa kile kijiwe wamehamia hapa. Pumba za walizokuwa wanaandika kule wameziacha siku hizi. Labda wengi wameshakuwa watu wazima.