Young social entrepreneurs network

Young social entrepreneurs network

FORTYMFALME

Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
38
Reaction score
42
Nahitaji kupata Vijana wa kitanzania wajasiriamali 5 tu walio very serious, niwape fursa ya kujiunga na mtandao wetu wa Young social entrepreneurs network mtandao huu ulikuwa na watu 10 tu. kwa sasa tumekubaliana kuongeza watu 5 tu ili wafike 15...

Kama wewe ni kijana uliye serious na biashara, kilimo etc comment niko tayari nitakufuata inboxb kutakua na mchujo kulingana na vigeso na masharti ya mtandao huu..

Ahsanteni
 

Attachments

  • social.jpg
    social.jpg
    67.9 KB · Views: 25
Ni nini hicho? Faida za kujiunga ni zipi? Jiuze zaidi...

Magroup mengi yakibongo yanakosa dira, mada zile zile, vichekesho, mipira, siasa, masuala ya dini, quote za inspirational speaker n.k.

Natamani kungekuwa na mentorship programe za watu waliofanikiwa kuwasaidia wajasariamali wanaochipukia haswa katika nyanja za njia za kufuata na sio fedha.
 
Back
Top Bottom