Young Killer matunzo yamekubali, muziki unataka kukukataa

Ametoa ngoma moja week iliyopita anaimba nje kabisa ya mdundo akiwa anajaribu kuimba trap music
 
Tofauti ya Mimi na wewe Mimi na wewe sasa.majungu ya Nini mtoto wa kiume mwisho uolewe.
Hata sauti inapaa lakini huwezi kuezekea nyumba.
Waliokufa wote ni wajanja ndio maana wamewahi kule.
Uliza Roma alifanywa nini alivyotekwa.
 
Cja walinganisha ila hata wao kweny angle yao wana ukubwa wao vile vile na sio hicho cheo cha utoto mnacho jaribu kuwapa
True. Kuna raia wa tz wanafanya trap poa sana.
Kuna
Country boy
Salmin swagz
Loski_tzn
Conboi
Moni centrozone
Young Lunya
Fredrick mulla
G_RELL
Slimsal
Chin bees
Rosa ree & frida amani
Orbit
Brian Simba
Jimmie_ wrld
Dullahstar
Rapcha_tz
Na wengineo nlosahau kuwaweka hapo

Ila nachoweza kusema Ni lazima kuweka respect kwa jina la YOUNG KILLER
 
Choo cha kike ulichoingia umekuta demu wako anamegwa
Nnavoanza kumkubali killer kabla haja hit alikua ana ryhme tamu
 
Huyu Amefanya kuandika tu hiyo mistari ya dogo mmoja hivi YOUNG LUNYA naona anataka tension kwa kuanzisha battle na KILLER. Coz. OMG ishaanza ku drop na kila mtu anafanya project zake mwenyewe
Leo hii Tz tuna waweka kweny mzani wa ubora kati ya ali kiba na mond ni kwa sababu wote wanafanya mziki aina moja na matokeo yke tuna pata majibu sawia ila Mnacho jaribu kukifanya ni kama kumpima Nash mc na marioo na majibu yake yawe Nash mc ni mtoto sana kwa marioo hiyo sio kweli kuwapima hao wa wili na kupata majibu sawia kati ya Marioo na Nash mc Ni lazima marioo nae Atie miguu kweny hip hop then tuna wapima na kipimo kitasema ukweli Na ndy maana hata kweny hesabu baadhi tuna toa kwani mabano na kuendelea ku calculate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…