dokolombwike JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 373 Reaction score 623 Jul 5, 2016 #1 Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D. Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea. Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D. Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea. Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,676 Reaction score 5,383 Jul 5, 2016 #2 unashangaa kwa nini aijawa habar ya mjini? Wananchi wameshamzarau kutokana na matendo yake.
GRAPHIX MASTER Senior Member Joined May 22, 2015 Posts 165 Reaction score 87 Jul 5, 2016 #3 Ni habari ya kijijini huku shambani kwetu
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jul 5, 2016 #4 Ulikuwa unawasubiri wakina nani..... ili waifanye habari ya mjini kama si wewe ??
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,562 Reaction score 1,393 Jul 5, 2016 #5 Ata hivyo umemsaidai kuwa habari ya mjini...
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,426 Jul 5, 2016 #6 Mwambie ajiunge na lebel ya Wasafi.