(b)Wiki ya pili,mwalimu yule yule aliwaambia wanafunzi wake wachore picha inayoonyesha kazi wanayopendelea kufanya baadaye.Wengine walijichora madereva,wengine madokta,wengine mafundi waashi,wengine walimu n.k.Mwalimu alipokuwa anakagua,alimkuta mtoto Asia hajachora picha yoyote.Mwalimu akahoji kulikoni,Asia akajibu,'mwalimu mimi baadaye nataka kuolewa lakini sielewi nitajichoraje kuonyesha hiyo kazi yangu ya baadaye!Mwalimu aliwaambia wanafunzi wake wachore picha ya mnyama tembo.Wanafunzi walijitahidi kuchora hiyo picha kwa ustadi tofauti isipokuwa john alichora nukta tu.Mwalimu alipomfikia kukagua picha yake akahoji picha aliyochora iko wapi?John akamwonyesha ile nukta huku akisema,'huyu ndo tembo niliyemchora sema tu yuko mbali balaa,ndo maana anaonekana mdogo kama nukta'.
Mwalimu aliwaambia wanafunzi wake wachore picha ya mnyama tembo.Wanafunzi walijitahidi kuchora hiyo picha kwa ustadi tofauti isipokuwa john alichora nukta tu.Mwalimu alipomfikia kukagua picha yake akahoji picha aliyochora iko wapi?John akamwonyesha ile nukta huku akisema,'huyu ndo tembo niliyemchora sema tu yuko mbali balaa,ndo maana anaonekana mdogo kama nukta'.
Tehe tehe tehe teeeeh!!!(b)Wiki ya pili,mwalimu yule yule aliwaambia wanafunzi wake wachore picha inayoonyesha kazi wanayopendelea kufanya baadaye.Wengine walijichora madereva,wengine madokta,wengine mafundi waashi,wengine walimu n.k.Mwalimu alipokuwa anakagua,alimkuta mtoto Asia hajachora picha yoyote.Mwalimu akahoji kulikoni,Asia akajibu,'mwalimu mimi baadaye nataka kuolewa lakini sielewi nitajichoraje kuonyesha hiyo kazi yangu ya baadaye!
Very creative!Tehe tehe tehe teeeeh!!!
Hii ndio kama ile wanafunzi waliambiwa wachore treni, John yeye hakuchora na mwalimu wake alipokuja kukagua akamwambia kuwa "umechelewa treni imeondoka"
(b)Wiki ya pili,mwalimu yule yule aliwaambia wanafunzi wake wachore picha inayoonyesha kazi wanayopendelea kufanya baadaye.Wengine walijichora madereva,wengine madokta,wengine mafundi waashi,wengine walimu n.k.Mwalimu alipokuwa anakagua,alimkuta mtoto Asia hajachora picha yoyote.Mwalimu akahoji kulikoni,Asia akajibu,'mwalimu mimi baadaye nataka kuolewa lakini sielewi nitajichoraje kuonyesha hiyo kazi yangu ya baadaye!
(c) Wiki ya tatu mwalimu akwaambia wachore ng'ombe amakula majani...wengine wakachora mgo'mbe wazuri wakubwa, wakapaka rangi, wengine wakaongeza na vindama...ila John..alichora kwato tu na vimajani vidogooooo...
Mwalimu alipokuja kukagua akamkasirikia John kwanini hajamchora ng'ombe. John akahamaki, "Ha! mwalimu nimemchora mwalimu, atakuwa ameenda pengine kuatfuta majani..si unaona alitembea hapa (akimwonyesha footsteps) na majani hapa ni madogo sana!"
(e)Mwalimu yule yule alihamishiwa mtwara.siku moja aliwaambia wanafunzi wachore chochote wanachopenda,akaenda ofisini,akaahidi kurudi baadaye kukagua.Aliporudi baadaye hakumkuta hata mwanafunzi mmoja darasani,wote waliondoka kwa sababu kwa kimakonde KUCHORA ni KUONDOKA!(d)Wiki ya nne mwalimu akaona isiwe nongwa, akawaambia waandike insha inayoanza na, "Tulipofika kambini..." Aliwataka wa-assume wako kwenye vita vya Tanzania na Uganda (enzi za Idi Amin). Na wao ni wanajeshi wamepelekwa kambini kule Kagera....then waendelee! wawe creative as they wanted..
Basi wanafunzi wakaandika wengine pages nne, tano, kumi..yaani walijimwaga alimradi wapate maksi zote..
siku ya kukagua kazi Mwalimu alifurahishwa sana na wanafunzi wake walivyojituma, alipofika kwa John akashtuka kukuta John kaisha mstari wa kwanza, yaani, "Tulipofika kambini..."
Akamuuliza kwa hasira kwa nini hakuandika insha yake kama wengine!?? John akamjibu, "..lakini mwalimu tulipofika tu kambini, maadui wa Idi Amini walituvamia wakatuua, sasa ningeandika je zaidi!??"
(b)Wiki ya pili,mwalimu yule yule aliwaambia wanafunzi wake wachore picha inayoonyesha kazi wanayopendelea kufanya baadaye.Wengine walijichora madereva,wengine madokta,wengine mafundi waashi,wengine walimu n.k.Mwalimu alipokuwa anakagua,alimkuta mtoto Asia hajachora picha yoyote.Mwalimu akahoji kulikoni,Asia akajibu,'mwalimu mimi baadaye nataka kuolewa lakini sielewi nitajichoraje kuonyesha hiyo kazi yangu ya baadaye!
Ahahahaaah!!(d)Wiki ya nne mwalimu akaona isiwe nongwa, akawaambia waandike insha inayoanza na, "Tulipofika kambini..." Aliwataka wa-assume wako kwenye vita vya Tanzania na Uganda (enzi za Idi Amin). Na wao ni wanajeshi wamepelekwa kambini kule Kagera....then waendelee! wawe creative as they wanted..