PoleTunapigwa Leo, jiandaeni kisaikolojia, na Leo hatuna cha kujitetea
Tumewapapasa tenaMimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata!
Poleni sana wananchi wenzangu!
Wewe huwezi kuwa shabiki wa Yanga. Kwa sababu mpaka mpira unaanza, hakuna shabiki wa Yanga aliyekuwa na hofu, au mtazamo hasi kama huu wa kwako. Wengi tuliamini timu yetu itashinda. Na ndiyo maana hatukuwa hofu hata kidogo.Nilikuwa najiandaa ki saikolojia, Huu Mji wetu wa Dar es salaam usingekalika
Wewe huwezi kuwa shabiki wa Yanga. Kwa sababu mpaka mpira unaanza, hakuna shabiki wa Yanga aliyekuwa na hofu, au mtazamo hasi kama huu wa kwako. Wengi tuliamini timu yetu itashinda. Na ndiyo maana hatukuwa hofu hata kidogo.