Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌
dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda
Kama mmekosa kazi za kufanya...
Mimi ni mshabiki kindakindaki wa Yanga, ila Leo moyo wangu unakataa, tunapigwa 2 kwa 1 na Simbo, na anguko letu la miaka 4 litafuata!
Poleni sana wananchi wenzangu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.