Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani umeshasahau vile ilikuwa msimu ulopita?
Mwisho wa msimu huu ndio ubingwa mlioupata.
IMG_20210727_114931.jpeg
 
Wala haina hata haja ya kumlaumu mchezaji yeyote, benchi la ufundi,wadhamini au viongozi,timu ilicheza vizuri sana na wachezaji wetu kwa Mara ya kwanza msimu huu niliona jinsi walivyopambana hadi dakika ya mwisho. Pamoja na kadi nyekundu ya kizembe, Mukoko alikuwa anatoa jasho na nguvu zake zote kwa ajili ya klabu yake, binafsi nawapongeza sana wachezaji wetu, benchi la ufundi na GSM! Am so positive!
 
Mukoko amejua sana kunikera aisee.
Msamehe bure,nadhani alitembea na mechi ilopita kabla ya hii ya juzi mana Boco alimchezea rafu mbaya sana kwenye ule mchezo,so kibinadamu lazima uwaze Mara mbilimbili iweje mchezaji mwenzako atake kukuvunja? Kibinadamu haiwezi kuwa rahisi japo hakupaswa kufanya kama alivyofanya
 
Nimeshamsamehe bro.

Japo hivi zile kauli za kwamba mtu akifunga goli moja basi kabahatisha hivi zipo huko kwenu? 😀😀😀
 
Yanga watupu sana. Kesi ya yanga vs morison kabla hajasaini simba wao wanaihusisha simba...raundi hii mnakabiwa juu...furaha za selunde tu
 
Back
Top Bottom