Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Yaani kuandika tu hapa unatokwa jasho hivyo!?
Huyu ndo akiwa kwenye maofisi yenye ushabiki hasa anapigana na kupigana. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mana hapa tuko anonymous tu anatamani hata kurusha ngumi. Teh teh.
 
Kikosi cha timu ya Wananchi jana kiliwasili Zanzibar kwa ajili ya Kombe la Mapinduzi.
20210105_093550.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom