Hakika Mkuu Points tatu ndio muhimu.Leo wananchi wenzangu ushindi sheria.
Tushinde moja! Tushinde tano! Chamsingi ni points tatu.
Hata kama. 😀Timu yenyewe mbovu
Hiyo Simba ina uzima gani Mtani?Timu yenyewe mbovu
Hiyo Simba ina uzima gani Mtani?
Zidi kuota Mtani wangu ukiamka unamaliza ligi nafasi ya 3.Simba ndo BINGWA 20/21 na KUENDELEA
Uuwiiiii