Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Noma sana, nina wasiwasi na kambi yake ya ushauri. Jamaa alikuwa ameshakuwa kipenzi cha washabiki na viongozi, ila kashindwa kuli handle vizuri hilo swala.

Ngoja tuone kama Simba watampokea, maana sioni kama anafit kwenye kikosi.
Hahahaha, Yanga na Jamaa wote wana makosa

Kwa walivyofikia hawezi kucheza Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kwamba jamaa yuko overrated, hili sakata linaniambia vitu viwili.

Uongozi hautekelezi majukumu yake ikiwemo ahadi ya mkataba kama ilivyotuaminisha mwanzoni.

Au jamaa anashauriwa vibaya kiasi kwamba anagoma kukaa meza ya makubaliano ili apate kuondoka.

Yote kwa yote, haileti afya kwenye soka letu.
Ana mkataba na Yanga wa miaka 2,wakati anasaini huo akuijua thamani yake,na ukorofi ndio tabia yake ndio maana hajawahi kukaa japo misimu miwili kwenye klabu yyt nje ya ghana,ila sasa hivi kakiingia cha kike,Yanga atumuachi hivi hivi,
Screenshot_20200630-231604_Chrome.jpg
 
Hahahaha, ata nje atachezaje ? Mkuu yule wanamkomoa , we utasikia tu ,sitaki kuongea mengi wenye timu na mchezaji wao wapo ,watakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajikomoa mwenyewe mkuu,Yanga imemsajili akiwa hana timu yoyote toka alipoondoka congo 2018,na ndio maana wakampa miezi 6,alipoonyesha ubora wake wakampa miaka 2,kipindi anasaini akujua thamani yake,mo kamuhaidi mshahara usd 10 imemvuruga,Yanga tutalia nae huyu
 
Hahahaha Mkuu yote hayo nimesikia Jana ,mbn Jana Dogo kabanwa sana mpk akataka kupigana , na Nina hisi kaenda SA maana alibeba bags zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Mkuu yote hayo nimesikia Jana ,mbn Jana Dogo kabanwa sana mpk akataka kupigana , na Nina hisi kaenda SA maana alibeba bags zake

Sent using Jamii Forums mobile app
South africa aendi huyo,alichukua pesa ya chippa united,na wamemuambia lzm airudishe,baada ukorofi mwingi orlando ikataka imtoe mkopo chippa united,akala kama m 4 za kibongo toka chipa hlf akala kona,mikia kishawapiga m 23 huku akijua ana mkataba na Yanga 😃
 
Back
Top Bottom