Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndio sisi wana Yanga kindakindaki.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kule Uingereza kuna kautaratibu kao kazuri ningependa Bongo tukaige. Bingwa wa nchi anapopatikana kabda ya ligi kuisha inabidi kwenye mechi zinazofuata timu zote inazocheza nazo zijipange mistari miwili huku zukiipigia magofi Machapioni kabda ya mechi kuanza.

Chura FC hebu simameni kwa heshima na mtupigie makofi tafadhali😂😂😂
 
Huko umeshasema ni Uingereza Ses.

Nani asimame kwa bingwa gani basi. Chhhaaaaaaa.
 
Kule Uingereza kuna kautaratibu kao kazuri ningependa Bongo tukaige. Bingwa wa nchi anapopatikana kabda ya ligi kuisha inabidi kwenye mechi zinazofuata timu zote inazocheza nazo zijipange mistari miwili huku zukiipigia magofi Machapioni kabda ya mechi kuanza.

Chura FC hebu simameni kwa heshima na mtupigie makofi tafadhali
Labda waende pale Karume. Kwani bingwa wa kweli ni TFF
 
Ubingwa wa mbeleko
FB_IMG_15934327867248296.jpg
 
Back
Top Bottom