Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,441
- 127,351
Acha kabisa Mtani na musiombee tuwafunge hiyo tarehe nane mana tutafanya mbwembwe mbaya yaani mpira utachezewa kwa kila aina. 😀😀😀Sawa mtani. Naona siku hizi mkipata goli moja mnacheza kwa mbwembwe sana.
Tunawasubiri
Kama nawaona mtakavyoacha viti wazi ghafla. 😀