Young africans sc. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Young africans sc.

Discussion in 'Sports' started by mabina, Feb 20, 2012.

 1. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni nani wakulaumiwa!!!!!!!!!!!

  Kati ya kocha na wachezzaji.

  Kama nafasi za kufunga wamezipata!!!!!!!

  Nani alaumiwe na nini kifanyike
   
 2. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hata mimi huwa sielewi! Timu imecheza vizuri, washambuliaji wameshindwa kutumbukiza mpira nyavuni, hapa kocha utamlaumu kwa lipi? Au kwa kuwa hajawachezesha wachezaji (Tegete, Kisambale, Gumbo, n.k.), ambao tunadhani wangeisaidia timu kupata ushindi?
  Mimi naamini kwenye mpira lolote laweza kutokea! Mechi ya marudiano Yanga wakicheza kama juzi na kuongeza bidii, YOTE YANAWEZEKANA! Cha muhimu kwa kocha ni kuwaanda kina tegete pia, ili kuwachanganya waarabu ambao tayari wameshawasoma kina Asamoah!
   
Loading...