Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Ukiwa Mchambuzi uchwara wa mpira usiohusiana na timu yako kwa makasiriko na kushuhudia usiowapenda wakivaa medali, wakinyakua golden shoes, na Kipa bora wa CAFCCL 2023 basi jipige kifuani mara 3 na kujiita "MBUMBUMBU"Yanga jana ukiachana na penalty waliyopata dakika za mapema kabisa hamna walichocheza baada ya hapo ubunifu zero,.. USMA walipoteza nafasi nyingi tu za kufunga mpaka penalty wamekosa.
NB:- Ukiona Kipa wako ndiyo anakua MAN OF THE MATCH, UJUE ULIZIDIWA.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

