You will never learn this in school

Itscharlie

JF-Expert Member
Apr 15, 2022
3,794
15,762
° Africa area = 30,37 million km2
° China area = 9,6 million km2
° US area = 9,8 million km2
° Europe area = 10,18 million km2

● Africa is bigger than all of Europe, China and the United States of America together.

● But on most world maps, Africa is represented in downsize.

This is deliberately done to create the visual effect of a small Africa to manipulate, brainwash, and deceive Africans wherever they are.

- Africa has 60% arable land.

- Africa owns 90% of raw material reserve.

- Africa owns 40% of the global gold reserve.

- Africa, 33% of diamond reserve.

- Africa has 80% of Coltan's global reserve (mineral for telephone and electronics production), mainly in the Democratic Republic of Congo.

- Africa has 60% of global cobalt reserve (mineral for car battery manufacture).

- Africa is rich in oil and natural gas.

- Africa (Namibia) has the world's richest fish coastline.

- Africa is rich in manganese, iron and wood.

- Africa is three times the area of China, three times the area of Europe, three times the United States of America.

- Africa has thirty-half million km2 (30 875 415 km2).

- Africa has 1,3 billion inhabitants (China has 1,4 billion inhabitants in 9,6 million km2).

Which means Africa is SUBPOPULATED.

- The arable lands of the Democratic Republic of Congo are capable of feeding all of Africa.
And all of Africa's arable land is a cord to feed the whole world.

- The Democratic Republic of Congo has important rivers that can illuminate Africa.
The problem is that the CIA, western companies and some African puppets have destabilized DRC for decades.

- Africa is a culturally diverse continent in terms of dance, music, architecture, sculpture, etc.

- Africa accommodates 30.000 medicinal recipes and herbs that the West modifies in its laboratories.

- Africa has a young global population that should reach 2,5 billion by the year 2050.

● AFRICA IS THE FUTURE
 
Sawa.. yoote hayo tunayo.. tumefanya nin kuyabadili yawe tija na manufaa kwa jamii zetu.. au ndo tumeukalia uchumi.. au akili hakuna.. utasema ohhh mzungu katupumbaza.. ohh mzungi katutawala.. bullshit.. sasa hiv uko huru.. hayo madin. Sjui ardhi sjui bahar .. unaitumiaje?.. waafrica tuna bla bla sana
 
Tatizo ni elimu na Pesa.
Hayo yote hayawezi kufanyika bila ya elimu bora yenye nia ya kumuamsha mtoto wa kiafrika kuhusu bara lake na uwezo wake na baada ya hapo ajue umuhimu na jinsi ya kutumia hizo rasilimali na kunyanyua uchumi.

Zaidi ya hapo hakuna kitakachowezekana.
 
Sawa, lakini utajili wa nchi au mtu ni maarifa. Kama hatuna maarifa hayo yote ni zero. Africa hatuna maarifa na hayo yote hayana maana kwetu kwasababu hatutaki shule
 
Watu mnajua sana kujiliwaza, kuwa na rasilimali zote hizo sio mwarobaini wa matatizo ya Afrika kama tumeshindwa kuweka mifumo thabiti ya kiutawala inayoweza kusimamia haki.

Badala yake Afrika ndio inaongoza duniani kwa kuwa na tawala za hovyo zinazodhulumu watu wake kwa kuwanyima haki huku hao wanaowadhulumu wakipora mali na kwenda kuzificha Ulaya.

Pia tufahamu kwamba LME/LBMA haziko Afrika hivyo hatuna sauti na mali yoyote ile tunayoweza kuzalisha. Leo hii Russia japo ni wazungu lkn dhoruba linalowakumba leo linawafanya wasinufaike na rasilimali zao kwa sababu hawamiliki masoko ya bidhaa mbalimbali wanazozalisha pamoja na mfumo wa biashara ambao hauwapi nafasi hiyo.
 
° Africa area = 30,37 million km2
° China area = 9,6 million km2
° US area = 9,8 million km2
° Europe area = 10,18 million km2

● Africa is bigger than all of Europe, China and the United States of America together.

● But on most world maps, Africa is represented in downsize.

This is deliberately done to create the visual effect of a small Africa to manipulate, brainwash, and deceive Africans wherever they are.

- Africa has 60% arable land.

- Africa owns 90% of raw material reserve.

- Africa owns 40% of the global gold reserve.

- Africa, 33% of diamond reserve.

- Africa has 80% of Coltan's global reserve (mineral for telephone and electronics production), mainly in the Democratic Republic of Congo.

- Africa has 60% of global cobalt reserve (mineral for car battery manufacture).

- Africa is rich in oil and natural gas.

- Africa (Namibia) has the world's richest fish coastline.

- Africa is rich in manganese, iron and wood.

- Africa is three times the area of China, three times the area of Europe, three times the United States of America.

- Africa has thirty-half million km2 (30 875 415 km2).

- Africa has 1,3 billion inhabitants (China has 1,4 billion inhabitants in 9,6 million km2).

Which means Africa is SUBPOPULATED.

- The arable lands of the Democratic Republic of Congo are capable of feeding all of Africa.
And all of Africa's arable land is a cord to feed the whole world.

- The Democratic Republic of Congo has important rivers that can illuminate Africa.
The problem is that the CIA, western companies and some African puppets have destabilized DRC for decades.

- Africa is a culturally diverse continent in terms of dance, music, architecture, sculpture, etc.

- Africa accommodates 30.000 medicinal recipes and herbs that the West modifies in its laboratories.

- Africa has a young global population that should reach 2,5 billion by the year 2050.

● AFRICA IS THE FUTURE
True very true,we have such good things we could use to dvp but whats make us poor considering such potention possessions we own?
 
Tunakwama wapi?

Mchezo ulianzia kwenye Cross Atlantic Slave Trade na ujio wa dini ili kulainisha Colonization of Africa.

Kwa 70% tulijifikisha huku wenyewe kwa kukubali ufala huo hapo juu.
 
Tatizo ni elimu na Pesa.
Hayo yote hayawezi kufanyika bila ya elimu bora yenye nia ya kumuamsha mtoto wa kiafrika kuhusu bara lake na uwezo wake na baada ya hapo ajue umuhimu na jinsi ya kutumia hizo rasilimali na kunyanyua uchumi.

Zaidi ya hapo hakuna kitakachowezekana.
Hilo sio tatizo! Tatizo lipo kwa corrupt rulers, mfano Utawala ovu wa CCM Tanzania!
Ndio hawa hawa waliopitisha mikataba ya kikhuma bungeni, mikataba inayofanya rasilimali zetu zichukuliwe kisenge senge na wageni kisa wao viongozi wa chama cha majizi wanafaidika personally na mikataba hiyo.

Ukijaribu tu kuutoa huo utawala haramu aisee watatumia makuruta wao wa polisi , jeshi la jw na wale mapopoma wao wanajiita sijui tis wakumalize kabisa.

Africa tuna safari ndefu kwa sababu ya hawa wahuni wanaotawala, kwa hiyo tatizo ni watawala waovu na siyo ishu nyingine
 
Corrupted rulers ni zao la mfumo mbovu wa elimu, bila ya kurekebisha msingi basi huo mzunguko hautoisha.
 
Hapana mkuu.
Mfumo mbovu wa elim nakataa.
Hivi unataka kuniambia leo hii tubadili mfumo wa elimu tuweke ambao unarecommend wewe unadhani tunaweza kubadili hawa mapopoma walioko madarakani?

Kwani wao tu ndo designated to rule? Ukijaribu kuwabadili na kuweka watu wengine tuone kama wataleta mabadiliko tunayoyataka unajua ni nini hutokea? Wizi wa kura, kutangaza wasioshinda na kutumia dola kubaki madarakani ili waendelee kupopoa rasilimali zetu
 
Kubadili mfumo wa elimu ni long term plan na matokeo ya execution yake yataonekana kwa vizazi vya baadae.
Kwa sasa hivi sio rahisi kuondoa corrupted rulers ila muda wao utafika tu.
 
Tatizo ni elimu na Pesa.
Hayo yote hayawezi kufanyika bila ya elimu bora yenye nia ya kumuamsha mtoto wa kiafrika kuhusu bara lake na uwezo wake na baada ya hapo ajue umuhimu na jinsi ya kutumia hizo rasilimali na kunyanyua uchumi.

Zaidi ya hapo hakuna kitakachowezekana.
Hivi hao Western walivyoboresha maisha yao,wao walitoa wapi elimu ilyowafikisha walipofika now??
 
Back
Top Bottom