You think fat is ugly???

Mh! Hawa bado wanawaza kutembea??? Dunia Imefika Mbaaaaaaaali!
 
Mh! Huyu mpaka anatia kinyaa. Huwa napenda videmu mchongoma vyenye "AC" huyu amezidisha mno. unaweza kutoka baada ya mchezo na mawazo yakaanza hapo hapo mpaka unakufa. Mgonjwa huyo si bure!
 
ooops, nasikia kichefuchefu....ni mifupa mitupu...
 
Aagh nasikia kichefuchefu nataka kutapika najisikia vibaya kama yule jamaa aliyejisikia vibaya alipozama chumvini ahhhh puuu natapika jamaani
 
Heh! Kwa kweli ni wagonjwa hao si bure!
 
wazungu wanamambo ya ajabu,ndugu zetu wa somalia, japokuwa hawana chakula lakini hawajakonda hivi.
 
Sasa nimeamini kweli kabisa kwamba UKIMWI upo!!!!
 
Hapo ukila huo mlo, utaambulia kuvunja mifupa na kuvuta ngozi tupu.
 
hawa ni wagonjwa sasa...ila unene mbaya jamani,mtu unakuwa huna mvuto hata kwa mkeo au mumeo jamani wavalia na kuvulia chooni inahusu!!!
 
inatia kichefuchefu lkini ahsante kwa kuonyesha upendo wa kweli kwa mpendwa wako... nahisi ilikuwa model show ya wahusika wenyewe. hii kali sijawai ona....!
 
Du asee dunia ina mambo, mi nawashangaa wanaowatumia kuonyesha mavazi yao, yananunuliwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…