You so heartless...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Ivi kwanini siku hizi wanawake ni so heartless...kweli kijana anajikaka mua anabeba zenge mjini anapata elfu 5 kwa siku walaah bi shosti huoni huruma unaichukua yote unamuacha tena juu ya mtaa[au kina kaka tumekuwa mazoba],pili dada zangu una beba mimba mienzi tisa kweli unazaa unatupa...so heartless.
 
Umewaza nini Baabaake ?
Kuna pande wamekuchinjia bwawani ?
 
Umewaza nini Baabaake ?
Kuna pande wamekuchinjia bwawani ?
mkuu leo asubui nikija kwenye pilika zangu nimemkuta jamaa analia mbya,yani demu alikuwa anamuwezesha kwa kila k2 eti leo kamkimbia
 
Huyo anechukuliwa hiyo hela ya zege yote ni bubu? Mwenyewe hawezi sema ama amua ampe ngapi?
Ila hao wanaobeba mimba miezi 9 tabu zote apatazo alafu anatupa mtoto huyo anafaa kuitwa jina lolote baya....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…