You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

X-

WATU WANGU MLIAMUA KUNIKAUKIA KWENYE HILI?......

....!i will never get married for the second time!...

DAMN COSTLY

Pole sana mkuu,

I can feel your frustrations. Ila usiwe na wasi wasi sana. Hili ni tukio la kawada tu na linahitimishwa na sekunde kama 5 tu pale wewe na mtarajiwa mtakapotangaza hukumu zenu wenyewe!! Tutakuombea tu ili ufike huku tulipo, uonje "raha" ambayo utakuwa umeitolea jasho.

Hapo kwenye blue,... hebu tema mate chini!!
 
Pole sana mkuu,

I can feel your frustrations. Ila usiwe na wasi wasi sana. Hili ni tukio la kawada tu na linahitimishwa na sekunde kama 5 tu pale wewe na mtalajiwa mtakapotangaza hukumu zenu wenyewe!! Tutakuombea tu ili ufike huku tulipo, uonje "raha" ambayo utakuwa umeitolea jasho.

Hapo kwenye blue,... hebu tema mate chini!!
hehehe!
tafsiri yangu ni:
-KUIHESHIMU/KUILINDA NDOA YANGU KWA MUDA WOTE NITAKAOKUWA NA MKE WANGU

-sifikirii pia kuoa tena kwasababu mke niliyenae naamini ananifaa/ananitosha

-hata ikitokea tofauti na hayo mawili niliyotaja,NITATOROSHA TU!SITAOA
 
Nitumie PM chap chap nikitumie vocha ya TIGO usijeshindwa kuwatafuta washikaji! Nina hakikaka maji hayajazidi unga.
 
Back
Top Bottom