You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
X-PIN,PAKAJIMMY,NGULI,CARMEL,BARBARITA,KAIZER,FL1,NEXT LEVEL,GKUNDI................!i am officially falling on your heads...!and this thread is for you guys.

YOU SHOULD HAVE TOLD ME JAMANI!KWANINI MLINITOSA?...i mean kwanin hamkunijuza kwamba the wedding thing is this much costly?...kwanini hamkunipa cost implications za harusi....?hakika mngenipa angalizo kwenye hili ''ningefikiria mara mbili'' juu ya maamuzi yangu,au pengine ningejipanga upya...

FIDEL80 NA JS...!hata kama ninyi ni ma super-bachelors kwamba mlikuwa hamujui?...sio inshu washkaji zangu,mngeniambia tu!...enewei..

BHT na ZD...!kwanin mliamua kuninyamazia kwenye hili?...mimi ningekuwa na gari yangu leo hii...poa tu mazee

MASANILO....!mwanawane umeniacha nimeangamia hivi hivi?....nimefulia kisa harusi?....poa tu mtu wangu

PRETTA,PRETTY,ANNINA,NANILIU,LILYFLOWER,SUGAR WA UKWELI,BABYLOVE.........!mmenitosa hivihivi.mngenitonya tu watu wangu mi ningejua itakuwaje,lakini poa tu

GEORGIEPORGIE...!dah!pamoja na lift zoote za tukutuku mbado uliamua kukaa kimya?.....dah haya bwana........

WATU WANGU MLIAMUA KUNIKAUKIA KWENYE HILI?......

....!i will never get married for the second time!...

DAMN COSTLY
 
wazee mngeniambia tu kwamba hii mambo ina gharama sana
 
hahaha Geoff hakijaaribika neno bwana wee endelea harafu harusi ikiisha unaanza kurudisha madeni kwa watu ,,unaweka diary this time naanza na Nguli anayefatia ...Masaki ..mwezi wa saba FL1 wa kumi na mbili Kaizer january 2011 Chrispin may Carmel new year MJ1 benk yenyewe inadaiwa;)
Tuko pamoja G
 
Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!

Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!

Ukivulia nguo maji shurti uyaoge

habari ndo hiyo

ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
 
Yaani kijana anachanganyikiwa pole Geoff mie nilikuwa natembea naongea nilikonda wewe eeh! kumbe kitu chenyewe siku moja masaa tu yanatupa BP
 
hahaha Geoff hakijaaribika neno bwana wee endelea harafu harusi ikiisha unaanza kurudisha madeni kwa watu ,,unaweka diary this time naanza na Nguli anayefatia ...Masaki ..mwezi wa saba FL1 wa kumi na mbili Kaizer january 2011 Chrispin may Carmel new year MJ1 benk yenyewe inadaiwa;)
Tuko pamoja G
dah!
jamani jamani..............
gharama kumbe ni kubwa hivi?
 
Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!

Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!

Ukivulia nguo maji shurti uyaoge

habari ndo hiyo

ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!
sasa mpwaa ungenishtua mapema ili nijue kwamba niyaoge au ninawe...pengine nisingeyavula nnguo,labda ningeamua kunawa tu
 
"Then said Jesus, "Father, forgive them; for they know not what they do ..."

Mambo yatakayokufanya uiheshimu ndoa yako ni pamoja na kasheshe za kimapato zinazoendana na wedding, however check haya na yatakutia moyo:

1) Ndoa ni mpango wa mungu kwa mwanadamu (hata ingekuwa ya mkeka?!)
2) Women ar too costly (imagine to get just one, makes your head spins, how about nyumba ndogo and the likes?)
3) Kama umempenda kiasi cha kutojali gharama in the first place, she is a qeen - there is a place in your heart that is no more your
4) whenever you think of Kudumisha MILA, reffer to #2

3)
 
Oyaaaa...ebu uko naona njaa imekuzidi mchana huu kapate lanchi kwanza!

Kizuri lazima ugharamie sasa unataka tu mtelemko! mttoto mwenyewe mshiki!? wapi na wapi!

Ukivulia nguo maji shurti uyaoge

habari ndo hiyo

ON a serious note harusi imeshaisha hiyo acha presha!

Jamaa kazoea vya bei nafuu!!!!! Sorry kwa kuingilia mada.
 
"Then said Jesus, "Father, forgive them; for they know not what they do ..."

Mambo yatakayokufanya uiheshimu ndoa yako ni pamoja na kasheshe za kimapato zinazoendana na wedding, however check haya na yatakutia moyo:

1) Ndoa ni mpango wa mungu kwa mwanadamu (hata ingekuwa ya mkeka?!)
2) Women ar too costly (imagine to get just one, makes your head spins, how about nyumba ndogo and the likes?)
3) Kama umempenda kiasi cha kutojali gharama in the first place, she is a qeen - there is a place in your heart that is no more your
4) whenever you think of Kudumisha MILA, reffer to #2

3)
sasa mkuu unaniambia haya mambo leo wakati tayari nimeshawaka...........!lolzsikuwahi kufikiria kama harusi ni ngumu kiasi hichi!I AM FINISHED MY PEOPLE
 
Ohhh..God, iam sorry!

I thougt you knew the real costs?

Mbona ulinambia shemeji hana macomplikesheni Broda?

Too Bad...anataka nini tena huyo?..anataka umpe gari kwanza?..what for?

Mi nikiwa naoa wakati huo sikupenda magari kabisa, maana sikupenda kufika haraka mahali nikiwa na mchumba wangu, huku tumeshikana mikono!...huh!

Anyway, usiogope, panapo wazee hapaharibiki kitu, we shall review the matter, lakini kuoa kupo palepale, na tarehe siibadilishi, maana tayari paroko ashaandaa kila kitu.

Be corageous broda, hata mimi nilikuwa hit-hard hivohivo, lakini kiugumu unakaukia..si unajua KIUMENI? huh!
 
....mweh!
masikini geoff mimi...mweh!
ningejua kwamba ni lazima nispend kiasi hichi.....!eeh!

enewei,I DON'T REGRET
 
Back
Top Bottom