You should have told me guys....!kwanin mmenifanyia hivi?.........

yaaaaaah!nafahamu kwa mbaaaali!
hebu shuka daataaaz

Kifupi inabidi u forego hizo gharama na mazaga zaga yote yanayohusu maandalizi for the SAKE of our mshiki! Umenisoma? So ili umpate huna budi kukubali hizo gharama, and thats the OC ya kumpata mkeo unayesema kuwa UNAMPENDA.

sasa kazi kwako nadhani umekubaliana na hiyo OC,,
 
hapa nimeshakamilisha asilimia 99 ya mambo yote..!nimekaa nakufanya tathmini nimegundua PESA IMENITOKA!..tena mingi tu!sasa najiuliza kwanini sikulijua hilo?
 
hapa nimeshakamilisha asilimia 99 ya mambo yote..!nimekaa nakufanya tathmini nimegundua PESA IMENITOKA!..tena mingi tu!sasa najiuliza kwanini sikulijua hilo?

mwone vile! Apo juu umesoma BURE hata kugonga senks hakuna?:D

Sasa presha ya nini matokeo yake una underperfom siku ya harusi kisha tui-nullify !
 
Usife moyo Kaka we r tugeza, kumbuka kuna zawadi na siku hizi watu wavivu kweli kubeba maparcel makubwa mwambie best man awe makini na kalekabasket kale, mshiko utakuja tu.
 
sredi hii mpya jamani yaani hela inamtoka binamu hadi anakosa hata senti ya kununua maji yale ya 50 Tsh
 
Theres no permanent situation on earth. No matter how long the night is the morning will always be there. So brother kp ur head up, soon it gonna be fine n u wont blv it. As always tuko pamoja.
 
Geoff kwa wakiristo wanaolewa au kuona mara moja for file time other wise unless,so tukio la harusi ni tukio muhimu sana kwa maisha yako yote may be halitajirudia tena,hivyo basi kwa gharama yoyote lazima tukio lipendeze kama nilivyosema hapo mwanzo ni la moja kwa maisha yako yote,ukubwa wa gharama zisikuumize kichwa kwani unafanya kitu cha maana sana!!!!
 
Geoff... hivi kweli unadhani uko peke yako? yaani unaamini kwamba gharam zote za ndoa ni zako?

Mh... ahadi sasa mbona naona kama haiswihi?
 
nimekugongea senksi mama!UKWELI MTUPU

haha pole sana Binamu yetu ...kuna kamati moja tulikuwa huko
bwana harusi katuchanganyia habari eti anataka tumnunulie shela na pete za harusi pia suti yake ,,
Yule sijui alilazimiswa kuoa ?
 
Geoff kwa wakiristo wanaolewa au kuona mara moja for file time other wise unless,so tukio la harusi ni tukio muhimu sana kwa maisha yako yote may be halitajirudia tena,hivyo basi kwa gharama yoyote lazima tukio lipendeze kama nilivyosema hapo mwanzo ni la moja kwa maisha yako yote,ukubwa wa gharama zisikuumize kichwa kwani unafanya kitu cha maana sana!!!!
thanks pal!
lakini dah!....:D
 
Back
Top Bottom