You made me feel like a King!

thanks MJ kwa kufurahi na sisi, it was nice having you around and i am sure mtaalam wa mistari ya mapenzi kamanda wangu MJ1 atakuja na verse kama tatu hivi halafu ntamwaga chorus mkuu

Wape hi u
 
De novo
Unataka shairi juu ya nini tena best? Maana ya kuvua pendo tayari naogopa nisijeharibu mazima.

MJ kaka pole kwa mapokezi nusu ambayo tulikupatia but tunashukuru MUNGU wote wazima and naamini next time ya siku nyingine mambo yatakuwa ok.

By the way nimeanza mafunzo ya Judo chini ya mwalimu Jack Chain........
 
Will definitely do that rafiki

Yeah niko poa kiasi chake ingawa bado si unajua tena.............haikuwa gharika ndogo
I know......we had to control Teamo and De Novo.........they had it in their throat like poisonous black cobra.
 
Mi ulichoniudhi ulikuja bila kubisha hodi na ukaondoka bila kuaga................ ndio tabia za wagogo hizo? (Hatukukufaidi bana, haya maharusi na masherehe ya komunyo ya kwanza bana.....nway there is always next time)

BTW hebu mwambie hommie wangu kaizer a do the needful hapo, siku tukija kula mbuzi na wabunge tupate mapokezi ya kueleweka.
 
thanks MJ kwa kufurahi na sisi, it was nice having you around and i am sure mtaalam wa mistari ya mapenzi kamanda wangu MJ1 atakuja na verse kama tatu hivi halafu ntamwaga chorus mkuu

Wape hi u

Meeting with you was like a President
To say it was nice its a compliment
May God bless you in your commitment
 
De novo
Unataka shairi juu ya nini tena best? Maana ya kuvua pendo tayari naogopa nisijeharibu mazima.

MJ kaka pole kwa mapokezi nusu ambayo tulikupatia but tunashukuru MUNGU wote wazima and naamini next time ya siku nyingine mambo yatakuwa ok.

By the way nimeanza mafunzo ya Judo chini ya mwalimu Jack Chain........

Hayakuwa nusu mapokezi ! Binamu mie nilifurahi to the maximum; usihofu kuhusu ka-gharika hata vipaimara huwa vinaingiliwa na mvua!

Mafunzo ya judo muhimu; safari hii ilikuwa ni simu siku nyingine wevi watakwapua ka -roho kako!
 
Back
Top Bottom