You made me feel like a King!

Kumbe ndo zake leo nimejua Kaizer kwa nini wanifanyia hivyo lakini au ndo distansi rileshenishipu huwezi...........????

sasa information reliable unazitoaga wapi lakini Js wangu....huyo sio reliable ndo nimemwambia kabisaa apo juu asije kuharibu jumla! si wajua maji ya moto hayachomi nyumba lakini yanaunguza mtu! ebu twenzetu siku imeisha kwanza.....
 
JS hizo haziwekigi outi!!

Kila siku mwenzio chako ni chako pale anachiti tu ila sisemi na nani
 
Haya mpenzi leo wapi tunaenda kule kule tulikokutana mara ya mwisho??
 
Leo nakufanyia suprise, kule kwa mara ya mwisho kuna mtu hapa alitupiga chabo....leo matawi ya juu......jiandae kabisa nitakudip!
 
JS hizo haziwekigi outi!!

Kila siku mwenzio chako ni chako pale anachiti tu ila sisemi na nani

Bht ukisema haziweki out aina hizo mapenzi naumia roho mwenzio sijui umenipata hapo!!!
 
Leo nakufanyia suprise, kule kwa mara ya mwisho kuna mtu hapa alitupiga chabo....leo matawi ya juu......jiandae kabisa nitakudip!

Matawi ya juu ya wapi Kempinski????ahahahahaha
 
Please explain!! kabla sija do the same kwenye red na wewe

ni eksplain nini na umesoma mapaka nyuma ya mistari??

plz do maana nilikuwa nakutafuta kwa ajili ya hilo hilo inaelekea kila mtu anaanya kasoro mi na wewe tu B.......lets do bana kwani nini??!!
 
Mj1 kumbe nikija hapo wilayani nitakutafuta sikujua kama wakati mwingine unatoa sapoti kwa wageni kwa kampani
 
Back
Top Bottom