You made me feel like a King!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Mungu Ibariki JF!

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru JF members milonipa ukaribisho wa kipekee na kunionyesha upendo wa kweli katika muda wote niliokuwapo nayi hapo Dar! Wengine wenu mlienda nje ya ratiba zenu kuhakikisha kuwa najisikia kweli niko among friends na cha zaidi ni lichojifunza kwenu ni ushirikiano wa kweli katika furaha na karaha! Hilo kwangu nalichukulia kama zawadi kubwa ambayo sina mfanowe!

MUNGU AWABARIKI SANA!

Ndugu zangu wachache niliombatana nao nikiwa huko hawakuamiani nilipowaambia ni kwa namna gani tumefahamina! najua nao watukuwa JF members soon!

Mbegu mliyoipanda kwangu nitaitunza kwa gharama zote na mlinifanya nilie moyoni kwa Furaha!

Nipende kuwashukuru wafuatao kwa ukunjufu wao!

Hommie Teamo
Hommie Fidel
Mkuu Maxence Mello
Mkuu De Novo
Kamanda Bigirita
Mkuu X-Pin
Hommie Next Level
Dada JS
Dada MwanajamiiOne


May the almighty God bless y'all!
 
Karibu tena MJ wa ukweli


JS mapenzi yangu kwako ni kama machozi ya samaki......analia lakini huwezi kujua analia manake machozi yanakwenda na maji.....LOL How are you?
 
Back
Top Bottom