sa huko si nitapotea zaidi?
ngoja nianze na british kwanza..maana huyu na kiranga wananipaga tabu kuwaelewa
Na siku ya kwanza tu BC naomba nipatiwe list ya maneno magumu magumu kabla ya ...this is an apple....

Hili sijui ni dongo au compliment.....!!
Na siku ya kwanza tu BC naomba nipatiwe list ya maneno magumu magumu kabla ya ...this is an apple....
Mbona huu uzi una masaa matatu lakini hautembei, kuna nini hapa?
hahahaahaa..
utatembeaje wakati Nyani Ngabu na mwenzake Karucee ndo wanaoutembeza, wengine tumekaa majukwaa ya yanga na simba, lool
nawaonea wivu mnaokua hii lugha.
Kwanini????
hahahaahaa..
utatembeaje wakati Nyani Ngabu na mwenzake Karucee ndo wanaoutembeza, wengine tumekaa majukwaa ya yanga na simba, lool
Kwanini????
Coz we're fly.
ni lugha yangu na ni aibu sijui kuongea wala kusikia!!!
Umejuaje kuwa ni aibu?