COBOL
Member
- Dec 21, 2013
- 98
- 227
Dah, hofu yangu kubwa imekuwa confirmed. Nilifanikiwa kuingia kwenye profile yangu ya HESLB, Nikakuta maneno "You have not secured a loan" yapo pale. Ile kurasa ilikua na sehemu ambazo hazina info yeyote mfano, "Reason", "Institute", "Full name". Sasa sijui hili ni tatizo na mtandao wao? kama si tatizo, na ikawa kuwa ni kweli nimekosa mkopo, kuna uwezekano wa kuappeal nikapata walau 0%?
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".
Kama haiwezekani au inawezekana, basi toa ushauri wako ili kwa wale wenzangu ambao wote tumekumbwa na hili tujue cha kufanya.
NOTE: Ijulikane kuwa course niliyoweka ilikua ni "Non Priority".