Nimekuelewa sana. Nakumbuka tshirts za umoja ni ushindi 2015 hatiamye ajira zikasitishwa leo hata wakiajir kwa mamia soko limeshakuwa saturated vijana wanabishana nani kapaka ikulu mpya rangi nani kaweka matofali mengi kama jambo la tija bila kuangalia gharama za kiuchumi za nchi kuwa na ikulu mbili zinazo lingana huku mashangingi yakiungurumishwa kutoka dodoma kwenda dar na kinyume chake kupeleka mafaili hatupo dar wala dodoma twafa