You do not have permission to access this page?

Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,192
1,500
Kuna thread nikifungua napata jibu:

bijou, you do not have permission to access this page. This could be:-
1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?

2. If you are trying this post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.Swali kwa wana jamii, mara zote hupata jibu hili kila ninapotaka kusoma habari ambazo ni "hot". Je nifanyeje ili niweze kusoma habari hizo?????????????????????

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Ukiona hivyo ujue thread unayotaka kufungua imekuwa merged, moved au imetupwa kapuni.

Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
353
225
Kuna thread nikifungua napata jibu:

bijou, you do not have permission to access this page. This could be:-

1. Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?

2. If you are trying this post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.

Swali kwa wana jamii, mara zote hupata jibu hili kila ninapotaka kusoma habari ambazo ni "hot". Je nifanyeje ili niweze kusoma habari hizo?????????????????????

Hakuna unachoweza kufanya kwani ma' Moderator wameiblock hiyo thread! Pole! Hamna democrasia popote ulimwenguni!

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,312
2,000
kwani ni kwenye majukwaa yapi ukitaka kusoma thread ndio unapata huo ujumbe?.......

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom