You can't believe this...OMG


aina hiyo ni uvivu ndo unawasumbua,wanaishia kunyanyaswa kwa utegemezi,ila huyu kazidi,mana hata kama nakutegemea bado hujaniambia nitumie masumu na mm nikubali
 
wifi taratiibu somo linaingia. tena aseme dr kasema anataka ka-rav 4 (apate kianzio,lol)

</p>
<p>&nbsp;</p>

Wifi huyu dada kama ni kweli oportunity a kuachana na maisha tegemezi ndo hii....aitumie vizuri!
 
Aiseee.. sijajuaga wenzangu hayo makalio huwa wanayatumiaje, jamani hebu nifundisheni mwenzenu nami nifaidi mnavyofaidi
 
Huyo bwana ameshamchoka long time hapo anapotezea
anataka aongeze makalio......kesho atamwambia makalio yamezidi ongeza miguu
mwishowe atakuwa amesambaratika kila mahali bora kusepa mapema
 
looo aje tumpunguzie, wanawake tujiamini na tupende tulivo ukijipenda mwenyewe na wengine watakupenda tu
 
Huyo bwana ameshamchoka long time hapo anapotezea
anataka aongeze makalio......kesho atamwambia makalio yamezidi ongeza miguu
mwishowe atakuwa amesambaratika kila mahali bora kusepa mapema
Nashanga, wakati anamchumbia hakuliona hilo
 

Nimeipenda hii Lizzy, kweli wewe wanyumbani kwetu kule kwa akina manka.
 
Nimeipenda hii Lizzy, kweli wewe wanyumbani kwetu kule kwa akina manka.

Hahhaha Safina mi namshangaa dada anataka kujua wapi wanauza dawa badala ya kuuliza kwa hako ka mtaji afanye nini ili apate kuishi!
 

Rutashubanyuma naona hamkuhelewana, sio yeye mbona ameandika kwa maandishi makubwa kabisa!! tena mekundu : NB :NIMEIKUTA HII HABARI KWENYE BLOG YA 8020 NIKAONA NISHARE NA NYIE.
SIJAPATA KUONA MWANAMKE MGONJWA KAMA HUYU,AMENISIKITISHA SANA,YAANI SIAMIN KAMA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KURUHUSU VIDOLE VYAKE KUANDIKA KITU KAMA HICHI


Niludi kwenye mada, kweli kuna watu wanajuwa kuwapa watu akili, roho, na miili yao.
 
Mh kusema ukweli nimeisoma hii nikataka nikae kimya...............kwenye ndoa kuna mengi!!
Kuna mama mmoja alishawahilalamika mumewe anamlazimisha kutumia mlango wa uwani kila akitaka kwenda 'ghorofani'.....akawa anatishiwa kuachwa ili aletwe anayemtii mume...mama ni mtu mzima ......na alikuwa anahisi style ile ni ya vijana wa dot com ambao wanaexercise u-Vasco Da Gama wao............she gave in and regreted for her life. Kwani pamoja na kukubali bado mumewe alihamia kwa nyumba ndogo.....kigooooori cha haja!!
 
Wote mnamshambilia tu huyo madada hamjamwambia zinapatikana wapi?, mwenzenu anataka inyeeeeeeeeee!!!!!!!
Cheusi mwambie zinapatikana kariakoo.......
 
Huyo jamaa ni mshenzi, kama alijua makalio makubwa ndio kigezo chake kikubwa mahusiano kwanini hakutafuta mwanamke mwenye makalio makubwa toka mwanzo akafunga nae ndoa? Anachokifanya ni kumnyanyasa huyu dada kwa vile anajua anamtegemea kila kitu kitu ambacho sioni tatizo lolote kwani kama hafanyi kazi basi ana husika kwa asilimia kubwa kwenye malezi ya watoto.kwahio swala sio kumtegemea hapa wanategemeana kama wazazi na wanandoa.

Mtazamo wangu mimi huyu jamaa kamchoka mke wake na sasa anamfanyia vituko hili watengane. Na huyu dada naona yuko tayari kuweka maisha yake hatarini sio kulinda ndoa bali kulinda uduma anazopata kutokana na hana kazi na wala hajui wapi anaweza kupata msaada wowote wa kuanza maisha upya.

Hapa watoto nao watakuwa affected pia, kikubwa huyo dada anahitaji ushauri sana na msaada pia ambao utampa imani ya kwamba maisha yake yanaweza kuendelea bila ya huyo jamaa.
 
Pole sana dada.
 
bora amfanye zezeta tu
inawezekana mlango wa nyuma keshamfungua na kumdanganya tako zitakuja, kaona kimya sasa anataka ambabue makalio yake kabisa,
angekuwa wa maana angempa hata laki5 hizo mbili ananunua dawa au janga?
na hata yakiongezeka atamtafutia jipya jingine...wanawake tuache kupenda dezo kulala na kula bure masimango hayataisha kwenye ndoa
 
Huyo mwanaume ni hatar mwisho atakuambia anataka tigo atakupa laki 2 ukubali akili kichwan mwako
 

shenzi type kwan mme anazaliwa nae? mwachie mitoto yake sepa, jaman ujinga ni mzigo.

ambacho hajui kuwa hayo matako wanaya renew ni nn? akujazie misumu mwilini eti unampenda? unampenda my foot!

dada bado analipa sepa kuna wanaume ambao wanapenda yafuatayo ambayo nadhan anayo;

1: sura nzuri
2: rangi natural
3: miguu mizuri
4: tabia

naamini ivo anavyo sepa mtoto wa kike tafta kazi utasahau hilo boya lipenda ocho.

acha kuwa tegemezi ndo maana anakutesa kwan kilema?
 
Kingast wewe ni -----! Kuna issue ya financials kwenye MaeleZo hapo juu? Mtu kasema anampenda mme wewe


UOTE=cheusimangala;2048820]aina hiyo ni uvivu ndo unawasumbua,wanaishia kunyanyaswa kwa utegemezi,ila huyu kazidi,mana hata kama nakutegemea bado hujaniambia nitumie masumu na mm nikubali[/QUOTE]
 
Wanawake anzeni kujitegemea...hamtakuwa katika hali hii ya unyanyasaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…