You can notice the difference

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117


 

Attachments

  • 1423226190905.jpg
    27.9 KB · Views: 873
  • 1423226280318.jpg
    36.9 KB · Views: 883
yaani kinana kawavalisha yebo yebo

kweli ccm imechoka na kuchokwa
 
hao wa khaki wana afya njema lakini hao wa green lebo utadhani ndo wametoka wodini leo
 
Madogo wa pipoz wako serious flani hivi hawa gambaz yametoa mimacho tu ka kenge!
 
Hawa wenye gwanda za khaki wana afya tele na unaweza ona kabisa wako active.Hawa wa green na njano loh salaale,hawa ndio Pinda alikuwa anasema wanafurahia gwaride na hizo yeboyebo miguuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…